Mfahamu vizuri Sebastian Maganga

Mfahamu vizuri Sebastian Maganga

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
huyu jamaa alianzia redio kadhaa za jijini kabla hajachomoka kwenda nje miaka iyo na kurudi kwa kasi ya ajabu moja kwa moja mjengoni Clouds Media.

jamaa ni jembe.

yeye ndo program manager wa vipindi karibu vyote vya clouds na ndo anatoa mwelekeo wa kipindi kizima kiweje na mtangazaji aongee je.....binafsi kama ndivyo ilivyo basi anastahili pongezi kwa kazi nzuri.....

ila wanasema behind every successful man there is a Woman.....tunaomba data hapa!!...:violin:
 
Ndo anaruhusu majamaa watukane live on air

jana kibonde alisema neno ******,wakat kuna jina mmbadala la ku2mia kwenye hadhara,c angesema MAKALIO au MASABURI,
huyo program meneja anaruhusu ushuz huo!
 
jana kibonde alisema neno ******,wakat kuna jina mmbadala la ku2mia kwenye hadhara,c angesema MAKALIO au MASABURI,
huyo program meneja anaruhusu ushuz huo!

"Kibonde anatukana ovyo radion hana akili kichwani au anavyosambaza drum makusudi mitaani"--Sugu
 
Seba ni mtu wa visasi na chuki nakumbuka alipohamia Uhuru ndio sisi tuliokuwa vijana wakati huo na wenzake waliokimbia kutoka Radio one walitaka kupandikiza mbegu za chuki kwa watu kuhusu Ippmedia kitu ambacho nimekiona kwa wengi wanaokuzwa na hii kampuni wakishapata umaarufu na soko lao kutanuka (popularity) wanafanya ambayo kwa mimi naona ni ushamba na upungufu wa nidhamu.

Tangu ameenda clouds sijaona ubunifu zaidi ya kuhamishia wimbi la IPP na Uhuru kwenda huko mfano; Mwalekwa,Janet, Husna Makau, Milad Ayo na sasa naona Musa wa uswazi. Mtu mbunifu analeta vitu vipya na vyenye changamoto sasa yeye anachofanya ni watu wa ndio Mzee anyway labda Clouds wanataka kuwa kama Radio one labda kwani mbinu moja wapo ya wewe kubadilika ni pamoja na kuchukua hata sura ya mbele ya adui au mshindani wako
 
Seba kapigwa chini nini,naona shafii dauda kachukua nafasi yake
 
Mleta mada umetumwa alafu aliyekutuma hajakutuma vizuri.! Rudi kamwambie akupe details za kutosha na zenye ukweli.!
Seba nje huko alienda lini.? Labda nje ya nyumba au nje ya ndoa, Seba alitoka Radio one akaenda Radio Uhuru alikuwa anatangaza kipindi kinaitwa "DEIWAKA" kilikuwa kinaruka hewani kila siku za wiki saa 8 mpaka saa 10. Pia alikuwa Meneja wa Noorah enzi za VIJIMAMBO.! Huyo ndo Seba ninayemfahamu mimi kidogo kabla hajaenda Clouds Media Group..!!
 
Anzisha threads za Amina Chifupa na Julius Nyaisanga pia. Hata kama huna details zao we anzisha tu JF atulipii kwahiyo we andika chochote tu.
 
Mleta mada umetumwa alafu aliyekutuma hajakutuma vizuri.! Rudi kamwambie akupe details za kutosha na zenye ukweli.!
Seba nje huko alienda lini.? Labda nje ya nyumba au nje ya ndoa, Seba alitoka Radio one akaenda Radio Uhuru alikuwa anatangaza kipindi kinaitwa "DEIWAKA" kilikuwa kinaruka hewani kila siku za wiki saa 8 mpaka saa 10. Pia alikuwa Meneja wa Noorah enzi za VIJIMAMBO.! Huyo ndo Seba ninayemfahamu mimi kidogo kabla hajaenda Clouds Media Group..!!
Alikuwa meneja wa gang we mob pia
 
Back
Top Bottom