Mfahamu Wilfred Mwabulambo, aliyecharazwa bakora na Mwl. Julius K Nyerere

Namfahamu Wilfred Mwabulambo alikuwa akijiamini sana kazini.
Alikuwa Katibu Mkuu wizara fulani na hata Mawaziri waliokuwa wizarani kwake walikuwa hawamwingilii hata kidogo.
 
Zidumu fikra za mwenyekiti
Mwalimu nae alikua anapenda kisifiwa sifiwa tu, ukimkosoa ilikua ni nongwa, hana tofauti yoyote na walimu wa kemia.
Usimfanishe Nyerere na vitu vya kijinga. Mpe heshima yake hata kama kafariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…