Mfalme Abdullah II wa Jordan amwaga darasa la "Nini Maana ya Kuwa Muislam" kwenye Bunge la Ulaya

Mfalme Abdullah II wa Jordan amwaga darasa la "Nini Maana ya Kuwa Muislam" kwenye Bunge la Ulaya

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Mfalme Abdullah wa pili wa Jordan amwaga darsa la "Nini Maana ya Kuwa Muislam" kwenye bunge la Ulaya kwa ufupi wenye kina.

Darsa hili ni fundisho na faida kwa Waislam na wasio Waislam. Tusikilize👇🏾

Tutaleta tafsiri ya Kiswahili baadae.
 
Wajukuu wa Ibrahimu tuna kazi kuhubiri amani na kudumisha amani

MWANZO 17:15-27
Mungu akamwambia Ibrahimu, Sarai mkeo, hutamwita jina lake Sarai, kwa kuwa jina lake litakuwa Sara. Nami nitambariki, na tena nitakupa mwana kwake, naam, nitambariki, naye atakuwa mama wa mataifa, na wafalme wa kabila za watu watatoka kwake.

Ibrahimu akamwambia Mungu, Lau kwamba Ishmaeli angeishi mbele yako. Mungu akasema, Sivyo, lakini Sara mkeo atakuzalia mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Isaka. Nami nitafanya agano langu imara kwake kuwa agano la milele kwa ajili ya uzao wake baada yake.

Na kwa habari za Ishmaeli nimekusikia, nimembariki, nitamzidisha, nami nitamwongeza sana sana. Atazaa maseyidi kumi na wawili, nami nitamfanya awe taifa kuu. Bali agano langu nitalifanya imara kwa Isaka, ambaye Sara atakuzalia majira kama haya mwaka ujao.

YOHANA 13:34-35
Yesu akawaambia "Amri mpya nawapa, Mpendane. Kama vile nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane vivyo hivyo. Hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi."

ZABURI 5:15
Akisema, Msiwaguse masihi wangu, Wala msiwadhuru nabii zangu.

YAKOBO 1:27
Dini iliyo safi na isiyo na hitilafu mbele ya Mungu Baba ni hii: Kuwasaidia yatima na wajane katika shida zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu huu.
 
Umeisikiliza video clip post #1?
 
Kinukuu kipi cha ujinga ulichokisikiliza, ili na sisi tuelimike.

Au ni "Islamophobia" inakusumbuwa?
Uislam na black people ni 5 na 6.
Ukikosoa chochote kuhusu uislam inakuwa Islamophobia na ukimkosoa mtu mweusi kwa chochote unaitwa rasist.
Lile liwaziri lililoambatana na Ramaphosa Ukraine, porand walipozuia convey yao kwasababu ya ndege yao kuwa na silaha na baadhi yao kutokuwa na genuine documents likakimbilia kusema mnatubagua kwasababu tumetoka Africa.
Bure kabisa!!
 
Hilo darsa linawahusu nini wasio waislam? Wazungu wala hawaelewi hicho kitu ni nini, yaani huyo mfalme ndiyo atanataka kuona utamaduni wa kiislam ndiyo bora duniani? Abaki nalo hilo darsa
 
Tatizo la wakristo wengi wao ni mbumbumbu sana na ndio Hilo kundi linajitahidi kuukataa ukweli huku wakinadi dini za mababu zao..

*...wamekwisha kufuru wale wasemao Mungu ni watatu... *

Kwa kumfanya Allah kuwa mwenye mwana.

Hakuna Mungu watatu kwenye ukristo

Tunakataa

Hakuna andiko linalotufundisha kuhusu miungu watatu

Tuna Mungu mmoja tuu muumba wa mbingu na nchi
 
Hakuna Mungu watatu kwenye ukristo

Tunakataa

Hakuna andiko linalotufundisha kuhusu miungu watatu

Tuna Mungu mmoja tuu muumba wa mbingu na nchi
Mungu baba Mungu mwana Mungu roho ...

Hakuna mstari kwenye biblia usemao ukristo ni dini .. na ni dini ya haki
 
Mungu baba Mungu mwana Mungu roho ...

Hakuna mstari kwenye biblia usemao ukristo ni dini .. na ni dini ya haki

Huyo unamjua wewe ila sisi wa kuitwa wa-Kristo hatumjui
Na usituwekee maneno mdomo.

Tunafuata maandiko matakatifu

1 WAKORINTO 8:6
lakini kwetu sisi Mungu ni mmoja tu, aliye Baba, ambaye vitu vyote vimetoka kwake, nasi tunaishi kwake

WAEFESO 4:5-6
Tena kuna Mungu mmoja, imani moja, ubatizo mmoja; na Mungu mmoja ambaye ni Baba wa wote, aliye juu ya wote, anayefanya kazi katika yote na aliye ndani ya yote.

JOSHUA 1:8-9
"Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana. Je! Si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike; kwa kuwa BWANA, Mungu wako, yu pamoja nawe kila uendako.
 
Back
Top Bottom