mtanganyika mpya
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 424
- 302
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umetoka lindo?
Mbona Kenya kuna dhahabu ya kutosha tu kule magharibi mwa nchi mfano migori, kakamega..nkDhahabu waipate wapi wanamigodi? si walikuwa wanategemea kuja kuiba hii ya kwetu sasa amepatikana bingwa wa kimataifa wakuzuia wiziwa kimataifa amejenga ukuta kwenye migodo mikubwa, amethibiti utoroshwaji wa madini na kuzuia viwanja vya ndege vilivyokuwapo migodini na ameanzisha masoko ya madini hapa hapa nchini. Itakula kwao labda wasage vipande vya chupa wawapelekee