Mfalme Mzee Yusuph amethibitisha kurudi kwenye taarabu

Mfalme Mzee Yusuph amethibitisha kurudi kwenye taarabu

@whitewizard sawa boss...kuwa na njaa ni ile kukosa hata kumi ya kula....sasa jamaa kama imefikia hapo inabidi Allah amfanyie wepesi....amuepushe na ibilisi wa Twaarabu.
 
Hana njaa vipi mkuu!! Wakati watoto wake sasa wanasoma KAYUMBA FC, toka kwenye English medium? biashara nyingi zimekufa /amedhurumiwa, kwa kufanya biashara ki shikaji!! Nyumba yake ya mbagala imeuzwa na bank, hata hiyo ya chanika, ni mwache mwache!!! Lolote laweza tokea, kifupi jamaa ameyumba sana kiuchumi!!!
Ndiyo hapo panakuwaga pagumu kutoka kwa Shetani kuelekea kwa Mungu waweza jisumisha bure! hasa kama mungu wako ni wa mashaka! yaani mungu yule wa kuambiwa na manabii!
 
Wewe Bwege nazi hujui? ni hivi; Waliotoa kile kichapo wote walitupiwa ma-Shetani, walikuwa siyo wao, Mungu wa msalabani alijua siyo wao! aliwasamehe! mpaka leo wako huru!

ilivotokea ni sawa na ma-shekhe wa leo wanaoongoza misikiti kwa nguvu za mashetani, mfano; Yahaya, wanafuga mashetani, wanawatupia wapita njia wakorofi, kuiba nyota za watu, chuma ulete!, ulinzi, kutandika waumini wanao kwenda kinyume na misimamo yao, ushoga nk,

Gwajima kayakemea kwa waumini wee!! kachoka! akagundua chanzo! ni shek.Yahaya akamwonya kwa masharti ya jina la yule yule wa Msalabani kwamba;
I, Atubu apone au
2. Aendelee Afe! .. yuko wapi leo! siyo maneno yangu ni ya Gwajima Mfuasi wa Yesu! na clip zipo!

aaa! hivi Mwamedi anawafanyagaje? mbona mnakuwaga na hasira, akitajwa! kupasua PC ni rahisi!!!

Duh kwel dini ulevi huyuhuyu gwajima!!?
 
Mambo yameiva.
mzeeyussuf-20200723-0001.jpg
 
Huyu jamaa tangu mwanzo wakati anajiunga na wavaa vibaraghashee huku akimwaga machozi, mi nilisema anabugi step. Na hii yote ni ukosefu wa elimu. Elimu sio ya darasani tu, na ile ya kuchanganua mambo yanavyokwenda Ulimwenguni. We huwezi kuacha dili zako zinazokuingizia kipato bila kujua unakwenda wapi. Ni ulofa.
 
Huyu jamaa tangu mwanzo wakati anajiunga na wavaa vibaraghashee huku akimwaga machozi, mi nilisema anabugi step. Na hii yote ni ukosefu wa elimu. Elimu sio ya darasani tu, na ile ya kuchanganua mambo yanavyokwenda Ulimwenguni. We huwezi kuacha dili zako zinazokuingizia kipato bila kujua unakwenda wapi. Ni ulofa.
Aisee
 
Tunajua ni shida za dunia, haswaa kwa mtu aliyezoea kushika mipesa pesa,
Sema nae Mzee si angeimba Qaswida basiii wengi wangemsapoti kuliko kurudi kwenye Taaraabu atajiharibia siha yake.
Qaswida alishaimba ila upepo wa huko haukuvuma vyema kwa upande wake...mambo hayakuwa sawa kimaslahi ktk kuwin his daily bread.
 
Back
Top Bottom