Mfalme Mzee Yusuph amethibitisha kurudi kwenye taarabu

@whitewizard sawa boss...kuwa na njaa ni ile kukosa hata kumi ya kula....sasa jamaa kama imefikia hapo inabidi Allah amfanyie wepesi....amuepushe na ibilisi wa Twaarabu.
 
Ndiyo hapo panakuwaga pagumu kutoka kwa Shetani kuelekea kwa Mungu waweza jisumisha bure! hasa kama mungu wako ni wa mashaka! yaani mungu yule wa kuambiwa na manabii!
 

Duh kwel dini ulevi huyuhuyu gwajima!!?
 
Huyu jamaa tangu mwanzo wakati anajiunga na wavaa vibaraghashee huku akimwaga machozi, mi nilisema anabugi step. Na hii yote ni ukosefu wa elimu. Elimu sio ya darasani tu, na ile ya kuchanganua mambo yanavyokwenda Ulimwenguni. We huwezi kuacha dili zako zinazokuingizia kipato bila kujua unakwenda wapi. Ni ulofa.
 
Aisee
 
Tunajua ni shida za dunia, haswaa kwa mtu aliyezoea kushika mipesa pesa,
Sema nae Mzee si angeimba Qaswida basiii wengi wangemsapoti kuliko kurudi kwenye Taaraabu atajiharibia siha yake.
Qaswida alishaimba ila upepo wa huko haukuvuma vyema kwa upande wake...mambo hayakuwa sawa kimaslahi ktk kuwin his daily bread.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…