pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Afadhali tu mara ya mwisho nimemuona huyu mzee baba jamaa alionekana kachoka balaa, yale mambo ya kipindi kile ya family yalimtibua nyongo akachanganyikiwa asijue asimamie lipi dini ikawa kimbilio,
mi naona sio vibaya mwanaume lazima ufanye kazi uitunze family kwasababu ikifikia kulishwa na kuveshwa na mke hiyo kwa mwanaume rijali ni fedheha kuu, na unyonge. rudi kazini mzee Yusuph bado haujachelewa kuwa mzee afu uwe ombaomba inauma sana.
Sent using Jamii Forums mobile app