Mfalme Mzee Yusuph amethibitisha kurudi kwenye taarabu

Mfalme Mzee Yusuph amethibitisha kurudi kwenye taarabu

Sasa mtu kama Bhakresa akiamua kuwa swala 5 hivi kuna kifungu gani anaweza kukosea? Maana anaweza kuishi katika misingi ya dini na mambo yakaenda sawa tu. Sasa we kapuku jiegamize huko uone kama hujaanza kuwa omba omba.
Hivi kwanini matajiri huwa hawahubiri din?? Tujiulizeni wajameni
 
Kulikua na haja gani ya kusema unaacha muziki wa kidunia na unamrudia muumba, hlf sasa hv unasema unarudi mjini. Kwani kwa Mungu ulikokua umeenda ni kijijini?
Akili kidogoo na Ujinga robota
 
.... alichosema Mzee Yusuf ni kwamba.... 'NarudiMjini'
 
Katika dini ya uislamu muziki ni haram, na Mzee Yusuf alipoenda hijja na kurudi alitangaza kuacha mziki na alianza kutangaza dini na mashehe alizunguka mikoa mingi kutangaza kuwa kamrudia Mungu.

Hivi karibuni inasemekana mfalme anataka kurud jahazini hivi ni kwamba alikurupuka au alijua akifanya toba ndo atakufa hapohapo aingie peponi.

Mungu hadhihakiwi jomba na wewe watu wengi wanakuangalia ni kioo cha jamii, sasa umetufunza nini sisi wengine.

Ila any way njoo utupe burudani tulikumiss taarabu ilikufa kabisa kweli we mfalme wa Taarab

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom