Mfalme Mzee Yusuph amethibitisha kurudi kwenye taarabu

Mfalme Mzee Yusuph amethibitisha kurudi kwenye taarabu

Mungu hayupo, narudia, Mungu hayupo. Ni upuuzi ulioletwa na wagni kwa maslahi ya kutupumbaza.... watutawale na kweli wameweza!
Kudos kwako , najivunia watu kama wewe . This fucking religious zimekuja kutuharibia maisha yetu.

Before ya ujio wa arabs and missionaries babu zetu waliabudu Mungu yupi ? Mbna life lilikua shwari tu.

#HAKUNAMUNGU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo wa kwanza! Stara Thomas naye yalimshinda huko kwenye mapambio akarudi alikotoka ila ikawa bila bila.

Msanii kuwa kioo cha jamii maana yake kazi zake za sanaa zinatakiwa ziakisi uhalisia wa maisha ya jamii yake siyo watu waishi kwa kumuiga tabia na maisha yake binafsi.
 
Aisee...Pole nyingi kwake.Kwa malengo alojiwekea na wajib alokua nao kiiman baada ya kuacha muziki, huku kurud kwenye muziki, tunakuita "kurudi nyuma" au "kuanguka".sasa si vizur kufurahia anguko la mwingine.
NB
maisha inabid yaendelee...no way.
Na maisha yenyewe yalibyo magum haya
 
Ni sawa unayosema ila unakumbuka aliuitaje huo mziki? Hadi akakataza watu wasipige kwenye vituo vya redio na tv! Kwamba watakuwa wanazidi kumkosea Allah!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mpaka ameamua kurudi maana ameshashauliwa vya kutosha

Nyie wengine ni wafia dini na mnafanya kazi au biashara mnapata pesa ya kulea familia zenu ila yy mnamtaka aendelee kusoma juzuuu wakati anakufa njaa
 
Yulee.mwimbaji alieimbaa taarabu nzuri mbalimbali MWISHO akatangaz akuachana nazoo na kuomba radhi aliowakosea na hatimae akaenda hija kuhiji

Amerudi kivingine na mziki wake

MTAANI kugumu asikwambie MTU aisee
Screenshot_20200331-061238.png
 
mbinguni kuna makazi machache kuliko kule kwenye moto


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Anataka kuimba Kaswida muziki wa dini na siyo muziki wa taarabu!

Sijui kwa nini hawaelezi watu ukweli badala yake ni kama anatafuta Kiki fulani vile ambapo wala haifai.

Jamaaa anataka kuimba kuanzisha kuimba kaswida na wala siyo taarabu kama zamani!

Mimi namshauri aliweke wazi hilo swala!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom