Mfalme Mzee Yusuph amethibitisha kurudi kwenye taarabu

Siamini nilimuona pale magomeni kwa shekhe Sharifu Imani imejaa Sana sidhani km atareje
Mkuu mtu hashibi imani,jua ana wake na watoto na kuimba taarabu ndio kipawa chake alichopewa na Mungu, kuimba taarabu sio ushetani, watu hawaelewi dini, pale Saudia kuna waimbaji mbalimbali wa hizo taarabu na maisha yanasonga sasa mwenzangu mie alikuwa ana beep kumbe hajiwezi na vizuri kaligundua hilo,mwanandamu hataishi kwa imani pekee
 

Muda utaongea.
 
Ela zimeisha sasa hawezi akahimili njaa kali lazima arudi tu. Kuokoka inatakiwa uvumilie yote

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah utaokoka huku una njaa na unamiliki wake wa 3?
Watu wanarudia kwa muumba wakiwa washaseti mitambo...Sasa we uue miradi kwa stanza za shekhe anaekwambia eti pesa za kikafiri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hazina bara' ka!

Eti uanze kujiinua kwa pesa zisizotokana na muziki wa kikafiri aliokuwa anaufanya mwanzo. Stupid thinking, pesa iko kwenye mzunguko hata noti chafu ikienda kwa mwengine change utayopokea inakuwa ni pesa safi. Hizi dini zinawayumbisha sana binaadamu wenzangu ilihali tu Mungu alitupa utashi. Ni dhahiri hata yeye atakuwa anatushangaa jinsi tulivyo wajinga at times!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tatizo la hii dunia ni uwepo wa kitu kinachoitwa pesa. Tungekua zama za kubadilishana ngamia na gunia la mahindi maisha yangekuwa fiti sana.

Pesa ni ukafiri na huwezi kuukwepa maana ndo inayoendesha ulimwengu. Ukiikosa maisha hayatakuwa na maana, inshort huwezi kuwa na msimamo ukiwa na ukata. Simshangai!
 
Alijifanya kashika dini hatari,hadi akafikia kuwaomba watu wa media wasipge nyimbo zake za taarabu radioni
 
Ila alikuwa vzr jamani, hakuna wa kumfikia, kajaaliwa sauti na ni mtunzi mzuri wa mashairi yani hit song zote za band yake alikuwa anatunga yeye na kila inayokuja ni tamu kuliko iliyopita.

Me si mpenzi wa taarabu ila za jahazi nilikuwa nasikiliza sana. Ila naona bifu la mtu na wifi yake linaweza kurudi tena maana baada ya mzee yusuph kuua band na wao walitulia.
 
Ukweli mtupu. Yaani ukiwa na ndalama ata imani gako inakuwa ya ukweli sio ya kinafiki.
Alafu bwana ukiwa na mihela yamuweza tuu kuendesha maisha yako vizuri mbona mungu utamtumikia vyema tuu. Pesa ni ulinzi bwana
 
Ukweli mtupu. Yaani ukiwa na ndalama ata imani gako inakuwa ya ukweli sio ya kinafiki.
Alafu bwana ukiwa na mihela yamuweza tuu kuendesha maisha yako vizuri mbona mungu utamtumikia vyema tuu. Pesa ni ulinzi bwana
Sasa mtu kama Bhakresa akiamua kuwa swala 5 hivi kuna kifungu gani anaweza kukosea? Maana anaweza kuishi katika misingi ya dini na mambo yakaenda sawa tu. Sasa we kapuku jiegamize huko uone kama hujaanza kuwa omba omba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…