Mfalme Mzee Yusuph amethibitisha kurudi kwenye taarabu

Mfalme Mzee Yusuph amethibitisha kurudi kwenye taarabu

Baba Jesca legeza vyuma baba yaisheeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njaa hizi. Jamaa alistaafu kwa mbwembwe zooteee

Naona kamiss kugombaniwa na wake zake,hapo ataongeza mwingine ili mtiti uanze upya
 
Alikuwa na maisha magumu Sana , alikuwa anashinda kijiwen anaganga njaa.. Nilikuwa naamini hawez vumilia lile laifu lazima atarudia kwenye muziki .. Hatimae Sasa.


Mara ya mwisho nilimuona chanika akiwa kachoka ile mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] njaa mbaya sana

One love
 
Back
Top Bottom