Mfalme wa Dubai, Mohammed Maktoum mwaka 2018 alitua na ndege Loliondo na KIA kwa shughuli gani? Kwanini aliambatana na Abdulrahman Kinana?

Hayo madege mbona yalukuwa yanatua sana Ngorongoro, kubeba wanyama, nenda uarabuni Kuna wanyama wetu wengi walipelekwa na Maya madege, kaulize wamasai wa Ngorongoro walishayazoea,na Kuna viwanja vya ndege zaidi ya 15 ngorongoro

Badala ya kufuga mbwa wao wamejiongeza na kuchukua duma, simba na chui wadogo na kuwalea huko
Tena naona huwa wanapewa bure tu maana viongozi wetu hawanaga soni maadam wakialikwa uarabuni tu inatosha
 
Unaongea kama una hela wakati ni kapuku tu hata wazazi wako kule kijijini wanaliwa na umasikini!

Dogo waonee huruma hata wazazi wako tu tazama walivyo makapuku kisha ona wewe unacho coment
Mkuu mimi wazazi wangu siyo wanyonge kama wewe,wao walitumia ujana wao vizuri na kujipanga vyema. Kama wazazi wako wewe ni wanyonge basi wasaidie wewe mtoto wao. Sema tatizo mtoto mwenyewe na wewe ni mnyonge pia hahahahahah hahaahh kazi kweli kweli
 
Nchi iko sokoni, wanunuzi wamekuja kuikagua walipe Cash. 🀣
 
Kwa wenye ujuzi wa haya mambo ya madege makubwa tunomba ufafanuzi.

Kwenye hii clip kuna dege kubwa linasemekana lina uwezo wa kutua popote.

Msaada jamani ili tupate ufahamu.

View attachment 2285175
Nchi imekwisha hii. Naona mfalme wa Dubai na Komredi Kinana katikati ya Loliondo
 
Kwa wenye ujuzi wa haya mambo ya madege makubwa tunomba ufafanuzi.

Kwenye hii clip kuna dege kubwa linasemekana lina uwezo wa kutua popote.

Msaada jamani ili tupate ufahamu.

View attachment 2285175
Da tumekwisha... kumbe ndio maana wamasai wanaondolewa Ngorongoro.. kumpisha Abu Dhabi.... Asante Makamu Mwenyekiti c.c...mmm
 
Your browser is not able to display this video.


Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote.

Kwanini iwe siri na kwanini ziara hiyo haikuwekwa bayana?

Je, hilo dege la kivita lilitoka hivihivi bila nyara zetu huko porini?

Ee Mungu baba tunusuru waja wako!
 
View attachment 2664351Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote.

KWA NINI IWE SIRI NA KWA NINI ZIARA HIYO HAIKUWEKWA BAYANA?!

Ee Mungu baba tunusuru waja wako!
Hawa watunwalitakiwa wawe wameachia nafasi zao haraka na waache waTanzaniabkudai haki zao maandamano.
Katiba Katiba haraka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…