Aliyevujisha video hiyo anatuandaa na nn?Kwa wenye ujuzi wa haya mambo ya madege makubwa tunomba ufafanuzi.
Kwenye hii clip kuna dege kubwa linasemekana lina uwezo wa kutua popote.
Msaada jamani ili tupate ufahamu.
View attachment 2285175
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyevujisha video hiyo anatuandaa na nn?Kwa wenye ujuzi wa haya mambo ya madege makubwa tunomba ufafanuzi.
Kwenye hii clip kuna dege kubwa linasemekana lina uwezo wa kutua popote.
Msaada jamani ili tupate ufahamu.
View attachment 2285175
Hayo madege mbona yalukuwa yanatua sana Ngorongoro, kubeba wanyama, nenda uarabuni Kuna wanyama wetu wengi walipelekwa na Maya madege, kaulize wamasai wa Ngorongoro walishayazoea,na Kuna viwanja vya ndege zaidi ya 15 ngorongoro
Mkuu mimi wazazi wangu siyo wanyonge kama wewe,wao walitumia ujana wao vizuri na kujipanga vyema. Kama wazazi wako wewe ni wanyonge basi wasaidie wewe mtoto wao. Sema tatizo mtoto mwenyewe na wewe ni mnyonge pia hahahahahah hahaahh kazi kweli kweliUnaongea kama una hela wakati ni kapuku tu hata wazazi wako kule kijijini wanaliwa na umasikini!
Dogo waonee huruma hata wazazi wako tu tazama walivyo makapuku kisha ona wewe unacho coment
Nchi imekwisha hii. Naona mfalme wa Dubai na Komredi Kinana katikati ya LoliondoKwa wenye ujuzi wa haya mambo ya madege makubwa tunomba ufafanuzi.
Kwenye hii clip kuna dege kubwa linasemekana lina uwezo wa kutua popote.
Msaada jamani ili tupate ufahamu.
View attachment 2285175
Da tumekwisha... kumbe ndio maana wamasai wanaondolewa Ngorongoro.. kumpisha Abu Dhabi.... Asante Makamu Mwenyekiti c.c...mmmKwa wenye ujuzi wa haya mambo ya madege makubwa tunomba ufafanuzi.
Kwenye hii clip kuna dege kubwa linasemekana lina uwezo wa kutua popote.
Msaada jamani ili tupate ufahamu.
View attachment 2285175
Sasa nimeelewaView attachment 2664351Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote.
KWA NINI IWE SIRI?!
Ee Mungu baba tunusuru waja wako!
Hii ya lini?View attachment 2664351Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote.
KWA NINI IWE SIRI NA KWA NINI ZIARA HIYO HAIKUWEKWA BAYANA?!
Ee Mungu baba tunusuru waja wako!
Hawa watunwalitakiwa wawe wameachia nafasi zao haraka na waache waTanzaniabkudai haki zao maandamano.View attachment 2664351Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote.
KWA NINI IWE SIRI NA KWA NINI ZIARA HIYO HAIKUWEKWA BAYANA?!
Ee Mungu baba tunusuru waja wako!
Hoja ni wao ama si wao?! Na kwa nini ziara hiyo ilifanywa siri? KWA NINI???????Hii ya lini?