Mfalme wa Dubai, Mohammed Maktoum mwaka 2018 alitua na ndege Loliondo na KIA kwa shughuli gani? Kwanini aliambatana na Abdulrahman Kinana?

Now naanz kuelewa kwanini bwana "kinanda" alifuga uchebe kama wale jamaa wa makumbusho wa simu.
 
Raia wa nchi ya Zanzibar sio mchezo kabisa. Wangebaki na umakamu wa Rais tu kulinda maslahi ya nchi yao pendwa ya Zanzibar
 
Duuuh, kapokelewa na makamu mkiti Taifa ccm bara, aiseee kweli twafwaaa ... Hapo ni ndovu ndovu kwa kwenda mbele
Loo salale...Kiongozi Mkuu wa nchi anapokelewa na makamu mwenyekiti wa CCM! Kwa hakika CCM imetuuza Watanganyika!
 
Tuamke ili nchi apewe MBOWE?????
Huna hoja, endelea Kula kwa wazazi baada ya kuamkia shikamoo Mara tatu kwa kutwa! Laiti ungalijitambua ulivyo mihimu katika kuzilinda na kuzitunza rasilimali za imma ungekuwa Bora Sana na usingejibu hivi! Unahitaji elimu ya uraia kwa kiwango kikubwa Sana.
 
vijana wanadai hata wakiandamana hawafaidik na chochote wanaona bora viuzwe tuu nahic elimu inahitajika zaid
 
Dah kweli sasa picha kamili inakuja, si haba upo mpango mkubwa wa kupiga bei rasilimali za Tanganyika.
 
Safi sana. Wawekezaji wetu. Karibuni sana bongo.
 
Mwinyi Baba nae aliuza Loliondo miaka 99...anajuta sasa .....huyu bibi nae kauza airport KIA na bandari Tanesco na Postal khaaasw
 
Hivi kwanini woote wanaohusika na Dubai ni waislam? Hapa namuona Kinana? Au wanaeneza dini?
 
Zipo sababu za msingi za kufanya hivyo zaidi ya huu umbea wa mitandaoni. Kuna suala zima la ardhi kupoteza uhai wake wakiendelea kuwa pale na kuitumia kulishia mifugo na wao kuishi.
Isipoteze for centuries ije ipoteze leo?
 
Uhuru ndani ya ukoloni bila kujijua..,
 
Uzuri ni kuwa hii mijizi mingi ya hicho chama; huyu msomali, mkwere, n.k imeshazeeka. Mungu ataiondoa punde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…