Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta stori za mama j,haya hutayaweza 😀Habari km hizi zinanitia Sana uchungu [emoji26]
Raia wa nchi ya Zanzibar sio mchezo kabisa. Wangebaki na umakamu wa Rais tu kulinda maslahi ya nchi yao pendwa ya ZanzibarView attachment 2664351
Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote.
Kwanini iwe siri na kwanini ziara hiyo haikuwekwa bayana?
Je, hilo dege la kivita lilitoka hivihivi bila nyara zetu huko porini?
Ee Mungu baba tunusuru waja wako!
Loo salale...Kiongozi Mkuu wa nchi anapokelewa na makamu mwenyekiti wa CCM! Kwa hakika CCM imetuuza Watanganyika!Duuuh, kapokelewa na makamu mkiti Taifa ccm bara, aiseee kweli twafwaaa ... Hapo ni ndovu ndovu kwa kwenda mbele
Huna hoja, endelea Kula kwa wazazi baada ya kuamkia shikamoo Mara tatu kwa kutwa! Laiti ungalijitambua ulivyo mihimu katika kuzilinda na kuzitunza rasilimali za imma ungekuwa Bora Sana na usingejibu hivi! Unahitaji elimu ya uraia kwa kiwango kikubwa Sana.Tuamke ili nchi apewe MBOWE?????
vijana wanadai hata wakiandamana hawafaidik na chochote wanaona bora viuzwe tuu nahic elimu inahitajika zaidNa vijana mmekaa kwenye vijiwe vya bodaboda na mabanda ya kubet badala ya kujaa mabarabarani kulinda rasilimali zenu! Sijui mtalisha Nini watoto wenu kesho. Wazee mlioaminishwa kuwa na busara na hekima wamegeuka madalali wanawauza na nchi yenu kwa Bei ya jumla! Amkeni enyi watoto!
Dah kweli sasa picha kamili inakuja, si haba upo mpango mkubwa wa kupiga bei rasilimali za Tanganyika.View attachment 2664351
Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote.
Kwanini iwe siri na kwanini ziara hiyo haikuwekwa bayana?
Je, hilo dege la kivita lilitoka hivihivi bila nyara zetu huko porini?
Ee Mungu baba tunusuru waja wako!
Safi sana. Wawekezaji wetu. Karibuni sana bongo.View attachment 2664351
Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote.
Kwanini iwe siri na kwanini ziara hiyo haikuwekwa bayana?
Je, hilo dege la kivita lilitoka hivihivi bila nyara zetu huko porini?
Ee Mungu baba tunusuru waja wako!
Mwinyi Baba nae aliuza Loliondo miaka 99...anajuta sasa .....huyu bibi nae kauza airport KIA na bandari Tanesco na Postal khaaaswView attachment 2664351
Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote.
Kwanini iwe siri na kwanini ziara hiyo haikuwekwa bayana?
Je, hilo dege la kivita lilitoka hivihivi bila nyara zetu huko porini?
Ee Mungu baba tunusuru waja wako!
Hii ilikuwa 2007 kama sikoseiView attachment 2664351
Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote.
Kwanini iwe siri na kwanini ziara hiyo haikuwekwa bayana?
Je, hilo dege la kivita lilitoka hivihivi bila nyara zetu huko porini?
Ee Mungu baba tunusuru waja wako!
Hivi kwanini woote wanaohusika na Dubai ni waislam? Hapa namuona Kinana? Au wanaeneza dini?View attachment 2664351
Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote.
Kwanini iwe siri na kwanini ziara hiyo haikuwekwa bayana?
Je, hilo dege la kivita lilitoka hivihivi bila nyara zetu huko porini?
Ee Mungu baba tunusuru waja wako!
Isipoteze for centuries ije ipoteze leo?Zipo sababu za msingi za kufanya hivyo zaidi ya huu umbea wa mitandaoni. Kuna suala zima la ardhi kupoteza uhai wake wakiendelea kuwa pale na kuitumia kulishia mifugo na wao kuishi.
Acha upotoshaji kamwe Magufuli asingeweza kumpokea mtawala fila-un kama yuleKipindi cha mwendazake!
Uhuru ndani ya ukoloni bila kujijua..,View attachment 2664351