fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Mkuu moyo unauma sanaðŸ˜ðŸ˜Habari km hizi zinanitia Sana uchungu [emoji26]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu moyo unauma sanaðŸ˜ðŸ˜Habari km hizi zinanitia Sana uchungu [emoji26]
Hatutaki mwanaccm yoyote. Kwani ni uongo dhalimu ndio aliyeua nguvu ya wananchi kuhoji?Punguza chuki we jamaa. Jikite kwenye hoja , huyo unayemlalamikia ashatangulia, kumtaja hapa haitasaidia CHOCHOTE na usilalamike maana mlitaka mwana demokrasia kwahyo kuhusu rasilimali hizi kwenu haikuwa hoja.Tutulie.
Kipindi cha mwendazake!Hii ya lini?
Uambiwe wewe kama nani?Hoja ni wao ama si wao?! Na kwa nini ziara hiyo ilifanywa siri? KWA NINI???????
Jioni njemaKipindi cha mwendazake!
Matko wwDhalimu ndio aliua nguvu ya wananchi kuhoji. Sasa hivi kila kiongozi atatumia vyombo vya dola kunyamazisha madai ya wananchi.
Mbona wakija akina Konate, Mario Icardi, Messi, Idriss Alba nk huwa inatangazwa tena na wazir wa utalii na msemaji wa serikali, kwann mtu mkubwa kama mfalme wa Dubai iwe Siri.Amekuja kutembelea mbuga za wanyama. nisafari za kibinafsi hakuna ulazima wakutangaza.
Sio safari za kiserikali
Watanzania wenyewe hatupendani...tunaombeana mabaya,, wacha waarabu wajipakulie tu,, wakiwataka na dada zetu wachukue tuView attachment 2664351Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote.
Kwanini iwe siri na kwanini ziara hiyo haikuwekwa bayana?
Je, hilo dege la kivita lilitoka hivihivi bila nyara zetu huko porini?
Ee Mungu baba tunusuru waja wako!
hii nchi inahitaji kukombolewa. 2025 kapu linatakiwa lije liamue.View attachment 2664351Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote.
Kwanini iwe siri na kwanini ziara hiyo haikuwekwa bayana?
Je, hilo dege la kivita lilitoka hivihivi bila nyara zetu huko porini?
Ee Mungu baba tunusuru waja wako!
Ingekuwa siri ungeipata hiyo video clip kuiweka hapa?View attachment 2664351Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote.
Kwanini iwe siri na kwanini ziara hiyo haikuwekwa bayana?
Je, hilo dege la kivita lilitoka hivihivi bila nyara zetu huko porini?
Ee Mungu baba tunusuru waja wako!
Unapenda kukutetea watu wanaovaa vilembaIngekuwa siri ungeipata hiyo video clip kuiweka hapa?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Tuamke ili nchi apewe MBOWE?????Na vijana mmekaa kwenye vijiwe vya bodaboda na mabanda ya kubet badala ya kujaa mabarabarani kulinda rasilimali zenu! Sijui mtalisha Nini watoto wenu kesho. Wazee mlioaminishwa kuwa na busara na hekima wamegeuka madalali wanawauza na nchi yenu kwa Bei ya jumla! Amkeni enyi watoto!
Ndio akili za wabongo zinaishia humoHivi simba na yanga lini wanakutana
Aise mondi bado yuko na zari
Kajala Paula vp wapo
Fiesta na wasafi festival lini
Mwijaku babalevo wana mpya gani wameitoaaaa
[emoji38]
Hivi leo mechi za kubeti ni zipi [emoji1]
Ova