Mfalme wa Dubai, Mohammed Maktoum mwaka 2018 alitua na ndege Loliondo na KIA kwa shughuli gani? Kwanini aliambatana na Abdulrahman Kinana?

Mfalme wa Dubai, Mohammed Maktoum mwaka 2018 alitua na ndege Loliondo na KIA kwa shughuli gani? Kwanini aliambatana na Abdulrahman Kinana?

Punguza chuki we jamaa. Jikite kwenye hoja , huyo unayemlalamikia ashatangulia, kumtaja hapa haitasaidia CHOCHOTE na usilalamike maana mlitaka mwana demokrasia kwahyo kuhusu rasilimali hizi kwenu haikuwa hoja.Tutulie.
Hatutaki mwanaccm yoyote. Kwani ni uongo dhalimu ndio aliyeua nguvu ya wananchi kuhoji?
 
Kinana mwenyewe ni mdau wa bandari halafu na porini yupo pia kitambo.

Hii collab hatutoboi.
 
Hivi hao jamaa si ndiyo waliuziwa eneo huko huko Loliondo na Serikali ya awamu ya pili?

Hongera mleta mada kutuletea hii video, maana Watetezi humu wangesema ulete ushahidi.

Hawa Watawala Wazee sijui wana lengo gani na Vijana, maana kila sehemu wanataka kuuza as wameona wamebakiza miaka michache kabla hawajafa kwa Uzee 😢
 
We unaumwa nashangaa kwanini bado hauko Mirembe. Ila siku si nyingi tutakuona ukiokota takataka. Unaaibisha wasukuma we mwehu
 
Nyi
View attachment 2664351Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote.

Kwanini iwe siri na kwanini ziara hiyo haikuwekwa bayana?

Je, hilo dege la kivita lilitoka hivihivi bila nyara zetu huko porini?

Ee Mungu baba tunusuru waja wako!
Watanzania wenyewe hatupendani...tunaombeana mabaya,, wacha waarabu wajipakulie tu,, wakiwataka na dada zetu wachukue tu
 
View attachment 2664351Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote.

Kwanini iwe siri na kwanini ziara hiyo haikuwekwa bayana?

Je, hilo dege la kivita lilitoka hivihivi bila nyara zetu huko porini?

Ee Mungu baba tunusuru waja wako!
hii nchi inahitaji kukombolewa. 2025 kapu linatakiwa lije liamue.
 
View attachment 2664351Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote.

Kwanini iwe siri na kwanini ziara hiyo haikuwekwa bayana?

Je, hilo dege la kivita lilitoka hivihivi bila nyara zetu huko porini?

Ee Mungu baba tunusuru waja wako!
Ingekuwa siri ungeipata hiyo video clip kuiweka hapa?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Kazi tunayo
img_6_1685852232714.jpg
 
Na vijana mmekaa kwenye vijiwe vya bodaboda na mabanda ya kubet badala ya kujaa mabarabarani kulinda rasilimali zenu! Sijui mtalisha Nini watoto wenu kesho. Wazee mlioaminishwa kuwa na busara na hekima wamegeuka madalali wanawauza na nchi yenu kwa Bei ya jumla! Amkeni enyi watoto!
Tuamke ili nchi apewe MBOWE?????
 
Hivi simba na yanga lini wanakutana

Aise mondi bado yuko na zari

Kajala Paula vp wapo

Fiesta na wasafi festival lini

Mwijaku babalevo wana mpya gani wameitoaaaa

[emoji38]

Hivi leo mechi za kubeti ni zipi [emoji1]

Ova
Ndio akili za wabongo zinaishia humo
 
Back
Top Bottom