Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
Yaani matatizo ya Palestina tuyahamishie kwetu. You are not serious man.Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine
Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine
Ahsanteni 🐼
Hawa ukiwa nao muda wowote wanalianzisha.Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine
Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine
Ahsanteni 🐼
Watoto wagonjwaSource ni Fox news mubashara
Huna akili mijitu imezoea kuuwana huko Wenda ipelekwe CONGOTanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine
Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine
Ahsanteni 🐼
NyetoAisee nimecheka sana sijui labda nipo ganja!
Kwahyo watoto 2000 wamechukuliwa..
na sisi tuchukue madem wa palestina
sasa masela wataenda wapi?!
Ili iweje?uko serious au?Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine
Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine
Ahsanteni 🐼
ili iweje? Uko serious au? Umewaza vizuri kweli!!?Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine
Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine
Ahsanteni 🐼
Ni wakimbizi tu, hata majirani zetu DRC, Rwanda au Burundi huwa huwa wanaishi kama wakimbizi iweje hao Waarabu ambao hatuna ukaribu nao wowote.Wasudan mmeishawarudisha kwao? Wapalestina ni marafiki zetu wakija hapa si wakimbizi bali Ndugu.
Wataondoshwa, hapo kinachofanyika ni ubabe.Wakikataa kuondoka watafanya nini?
In Somalia they can easily mingle.Sidhanii kama inahusu Tanzania.
Lazima iwe nchi ambayo those people can easily mingle.
Na jeshi la Marekani linalinda sehemu almost zote zile muhimu.Jordan anapokea $1.2billion kama msaada kila mwaka. Ukatae iweje?
Kataa misaada.
Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine
Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine
Ahsanteni 🐼
Kwanza tuwaulize Rwanda wao walifqnikiwa kuwapokea wahamiaji toka Ulaya?! Baada ya hapo ndio tujue na sisi kama tutaweza. Ya ngoswe mwachie ngoswe. Tusije kujitumbikiza kwenye mrengo ambao hatutaweza kujitoa humo daima, tukalia vizazi hata vizazi.Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine
Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine
Ahsanteni 🐼
Wale wabaki huko huko. Wameiharibu sana Lebanon kwa style kama hiyo. Huko nyuma, Lebanoni ilikuwa inatawalika, mpaka pale, wavamizi na wakimbizi wa Kipalestina, walipoigeuza kama sehemu ya kupangia mashambulizi yao dhidi ya Mayahudi waliowapora ardhi yao.Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine
Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine
Ahsanteni 🐼
Dah wq umebase kwenye self actualization hahaaaaTanazania wachukue wapalestina ila wa kike tu wenye umri kati ya 18yrs na 25. Waje wawamwage uswahilini.
Tumechoka kunusa uvundo we weaving na mawig. At least na sisi tufeel ladha halisi ya nywele ya singa.