Mfalme wa Jordan amwambia Trump yuko tayari kuchukua Wakimbizi 2000 wa Palestine, Tanzania tuchangamkie fursa hiyo Ili kukuza Urafiki na Marekani!

Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine

Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine

Ahsanteni 🐼
Yaani matatizo ya Palestina tuyahamishie kwetu. You are not serious man.

Vv
 
Wameshauriwa wachague sehemu yoyote duniani wanakotaka kwenda kuishi ili waiache Gaza; hiyo kauli ya namna hiyo, utaipinga vipi ukiambiwa unatakiwa uwapokee na kuwahifadhi?​
 
Wabaki huko huko waarabu ni wabaguzi na wa dini sana. Wapambane na hali zao wakija hapa labda wakaishi kulee.
 
Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine

Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine

Ahsanteni 🐼
Hawa ukiwa nao muda wowote wanalianzisha.
Yaani kama Kagame na M23 yake ungekuta wameshamalizana nao kitambo mno. Serikali mnaenda TU kama ushahidi.
 
Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine

Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine

Ahsanteni 🐼
Huna akili mijitu imezoea kuuwana huko Wenda ipelekwe CONGO
 
Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine

Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine

Ahsanteni 🐼
Ili iweje?uko serious au?
Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine

Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine

Ahsanteni 🐼
ili iweje? Uko serious au? Umewaza vizuri kweli!!?
 
Wasudan mmeishawarudisha kwao? Wapalestina ni marafiki zetu wakija hapa si wakimbizi bali Ndugu.
Ni wakimbizi tu, hata majirani zetu DRC, Rwanda au Burundi huwa huwa wanaishi kama wakimbizi iweje hao Waarabu ambao hatuna ukaribu nao wowote.
 
Je unajua vyema chanzo cha ugomvi wao usioisha?
Na, kabla ya kupokea 'hela ya mwanaume, yajue madhumuni yake
 
Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine

Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine

Ahsanteni 🐼

Trump mwenyewe kakubali kuchukua wangapi?
 
Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine

Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine

Ahsanteni 🐼
Kwanza tuwaulize Rwanda wao walifqnikiwa kuwapokea wahamiaji toka Ulaya?! Baada ya hapo ndio tujue na sisi kama tutaweza. Ya ngoswe mwachie ngoswe. Tusije kujitumbikiza kwenye mrengo ambao hatutaweza kujitoa humo daima, tukalia vizazi hata vizazi.
 
Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine

Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine

Ahsanteni 🐼
Wale wabaki huko huko. Wameiharibu sana Lebanon kwa style kama hiyo. Huko nyuma, Lebanoni ilikuwa inatawalika, mpaka pale, wavamizi na wakimbizi wa Kipalestina, walipoigeuza kama sehemu ya kupangia mashambulizi yao dhidi ya Mayahudi waliowapora ardhi yao.

Kila mtu apambane na hali yake.
 
Tanazania wachukue wapalestina ila wa kike tu wenye umri kati ya 18yrs na 25. Waje wawamwage uswahilini.

Tumechoka kunusa uvundo we weaving na mawig. At least na sisi tufeel ladha halisi ya nywele ya singa.
Dah wq umebase kwenye self actualization hahaaaa
 
Hamas ?!!

Hapana Kwa kweli....
Labda wangekuwa wa kutoka Ramallah na Bethlehem iliyoko chini ya Fattah.....

Hao Hamas watakuja kuwafundisha wapumbavu UGAIDI.....

#Nchi Kwanza!
 
Back
Top Bottom