Mfalme wa Jordan amwambia Trump yuko tayari kuchukua Wakimbizi 2000 wa Palestine, Tanzania tuchangamkie fursa hiyo Ili kukuza Urafiki na Marekani!

Tatizo wale watu ni udini, Tanzania haidekezi mambo ya udini na ukabila. Wakija wasahau udini na upalestina wao na wachanganyikane na raia wenyeji waishi bila kufanya harakati za kuvuruga taifa letu na pia waachane na chuki kwa Israel
Wala hawana udini wale!
Huyu mwandishi alikuwa raia wa Palestina na raia wa US ila aliuawa ukingo wa magharibi akireport jinsi Israel ikivyovunja nyumba za Wapalestina mwaka 2023! Pia ni mkristo ata baada ya kuawa jeneza lake lilibebwa na umma wa watu wengi kwenda kanisani hapohapo Palestina western bank.

Sisi huku ndiyo tunauchukulia ule mgogoro ni wakidini ili utagawe ila kimsingi wale hawana mgogoro wa kidini tena nakuambia kama wewe ni mkristo ukienda Palestina utaishi vizuri na jamii hiyo kuliko ukienda Israel! Israel hawataki kusikia habari ya Yesu.

Tatizo wale watu ni udini, Tanzania haidekezi mambo ya udini na ukabila. Wakija wasahau udini na upalestina wao na wachanganyikane na raia wenyeji waishi bila kufanya harakati za kuvuruga taifa letu na pia waachane na chuki kwa Israel
Wapalestina na ugaidi ni sawa na samaki na maji huwezi kutenganisha.
Kumbuka waliungana na nduli amini kwenye vita ya kagera
 
Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine

Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine

Ahsanteni 🐼
Du “mwenzetu” taking it for granted
Na lini huyo akawa mwenzetu?
Nenda kesho asubuhi ubalozini kwao ukaseme mwenzetu- ker bu wewe
 
Kwaiyo hapo Marekani anaenda kuwaomba Wapalestina wahame au nayeye anaenda kupiga mabomu?
Kasema anainunua Gaza, anayeiuza akishapokea malipo ndiye atakayewaambia wapangaji wake wahame. USA atasaidia usafiri.
 
Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine

Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine

Ahsanteni 🐼
Yeye kakubali watoto wanaoumwa cancer
 
Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine

Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine

Ahsanteni 🐼
Hahaha yani ukachukue wakimbizi kumfurahisha Marekani? Hata kama unalipwa vijicent, utawalisha nini na utawafanyia nini baada ya kuwachukua?

Nchi zilizoendelea wao wana program za wakimbizi kusoma, kufanya kazi kisha wanajichanganya na raia maisha yanaanza na wanaendelea mpaka ukimbizi wao utakapo isha.

Sasa wewe nchi yangu hii sisi tuliomo humu kula yetu shida, Ajira hakuna kwa wazawa, halafu unataka ukazoe watu wengine bila kuwa na plan?
 
Hamas ?!!

Hapana Kwa kweli....
Labda wangekuwa wa kutoka Ramallah na Bethlehem iliyoko chini ya Fattah.....

Hao Hamas watakuja kuwafundisha wapumbavu UGAIDI.....

#Nchi Kwanza!
Wanaongelewa ni raia wa Gaza, Hamas ni chama cha siasa chenye kitengo cha jeshi ndani yake ambacho kipo kwaajili ya kusaka ukombozi wa Taifa lao toka kwa Mkoloni Myahudi.
 
Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine

Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine

Ahsanteni 🐼
Mkuu hii umeitoa wapi maana nimeona kuwa hawakufikia muafaka kwa sababu mfalme wa jordan kasema yeye hatofanya chochote ambacho kitawatoa wapalestina kwenye eneo lao
 
Jordan anapokea $1.2billion kama msaada kila mwaka. Ukatae iweje?

Kataa misaada.
kupokea msaada haifanyi mtu akubali chochote hata kama cha kijinga, hivi umeona wapi mtu ananunua nchi na kusema wote waondoke, dunia nzima including washirika wa marekani european union imemkatalia trump na kumuona kituko
 
Tanazania wachukue wapalestina ila wa kike tu wenye umri kati ya 18yrs na 25. Waje wawamwage uswahilini.

Tumechoka kunusa uvundo we weaving na mawig. At least na sisi tufeel ladha halisi ya nywele ya singa.
Wana chawa na ukoko vichwani.
 
kupokea msaada haifanyi mtu akubali chochote hata kama cha kijinga, hivi umeona wapi mtu ananunua nchi na kusema wote waondoke, dunia nzima including washirika wa marekani european union imemkatalia trump na kumuona kituko
Anaenda kubadilisha sura ya Dunia tunayoijua.
Mkulu,
Imperialism is real no matter how much they play with words. Buy a parcel of land, for Security, for peace, for U.S interests and etc etc , theyall mean the same. Empire expansion. So long as DJT remains in power tutaona mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…