makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kwahiyo wapalestina woote ni waislam, hamna wakristo!?Tatizo wale watu ni udini, Tanzania haidekezi mambo ya udini na ukabila. Wakija wasahau udini na upalestina wao na wachanganyikane na raia wenyeji waishi bila kufanya harakati za kuvuruga taifa letu na pia waachane na chuki kwa Israel
Naunga Mkono hojaTanazania wachukue wapalestina ila wa kike tu wenye umri kati ya 18yrs na 25. Waje wawamwage uswahilini.
Tumechoka kunusa uvundo we weaving na mawig. At least na sisi tufeel ladha halisi ya nywele ya singa.
Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine
Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine
Ahsanteni
Ni kweli nawashangaa waafrika wanaowaona wazungu kama mungu, hawa watu ni racist na walafi na wanatumia tu maneno maneno ya utapeli kama terrorism na democracy kuvuruga na kupora vitu, mara mia sisi waafrika tuna utu na aibu ,look walichomzushia southafricaAnaenda kubadilisha sura ya Dunia tunayoijua.
Mkulu,
Imperialism is real no matter how much they play with words. Buy a parcel of land, for Security, for peace, for U.S interests and etc etc , theyall mean the same. Empire expansion. So long as DJT remains in power tutaona mengi.
umewahi kusikia christian palestinian for liberation kama ilivyo islamic jihad?Kwahiyo wapalestina woote ni waislam, hamna wakristo!?
sinza palestinaHao jamaa si wanaweza wakadai pale Sinza ni kwao?
hili la wayahudi kumkataa Yesu linajulikana, walimsulubisha na wakasema damu yake na iwe juu yao na watoto wao ndio maana unaona adui zao wanawakamia kila uchao, ni mpaka watakapomkiri YesuWala hawana udini wale!
Huyu mwandishi alikuwa raia wa Palestina na raia wa US ila aliuawa ukingo wa magharibi akireport jinsi Israel ikivyovunja nyumba za Wapalestina mwaka 2023! Pia ni mkristo ata baada ya kuawa jeneza lake lilibebwa na umma wa watu wengi kwenda kanisani hapohapo Palestina western bank.
Sisi huku ndiyo tunauchukulia ule mgogoro ni wakidini ili utagawe ila kimsingi wale hawana mgogoro wa kidini tena nakuambia kama wewe ni mkristo ukienda Palestina utaishi vizuri na jamii hiyo kuliko ukienda Israel! Israel hawataki kusikia habari ya Yesu.
View attachment 3233853
hii sijawahi kuisikia wala kuisoma zaidi ya waarabu wa libyaWapalestina na ugaidi ni sawa na samaki na maji huwezi kutenganisha.
Kumbuka waliungana na nduli amini kwenye vita ya kagera
Hakuwa na ujanja Rais wa dunia kashasema hakuna namna hata Putin amekuwa mpole balaa maana anajua jamaa huwa hatanii anaweza akaifuta Russia wakaanza upya.Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine
Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine
Ahsanteni 🐼
Atapanunua hata wapiga hapo target ni HAMASKwaiyo hapo Marekani anaenda kuwaomba Wapalestina wahame au nayeye anaenda kupiga mabomu?
Waje hapo Machame Palestine 🐼Hakuwa na ujanja Rais wa dunia kashasema hakuna namna hata Putin amekuwa mpole balaa maana anajua jamaa huwa hatanii anaweza akaifuta Russia wakaanza upya.
kwa hiyo rwanda akipewa offer ya kuwapokea wapalestina atawapokea?Biashara za Rwanda hizo sio sisi
King, amesema haafuki relocation ya Palestinians from their homeland, ila anawachukua 2000 wenye mahitaji maalumu, hasa watoto temporalyTanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine
Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine
Ahsanteni 🐼
Kweli Mkuu, ila wengi ni waafrica wa mtandaoni tu😂Ni kweli nawashangaa waafrika wanaowaona wazungu kama mungu
Wakiacha watakosa cha kuwahadaa wananchi wao.Hawa ni wahuni watuache africa na siasa zetu na rasilimali zetu
wacha kiherehere sio kila fursa ni fursa tumbo mponza trako akili za mafisiem mafi kabisaTanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine
Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine
Ahsanteni 🐼
We huna akiliWaje hapo Machame Palestine 🐼
Sasa wewe unategemea mpaka sheikh amalize kuswalisha tarawei ndio aje akuhadithie habar za middle east? badilika mkuuWe muongo Lete source...! Acha kubwabwaja
Nyie hapo machame si mnaojiita Wapalestina 🐼🤣wacha kiherehere sio kila fursa ni fursa tumbo mponza trako akili za mafisiem mafi kabisa