Mfalme wa Jordan amwambia Trump yuko tayari kuchukua Wakimbizi 2000 wa Palestine, Tanzania tuchangamkie fursa hiyo Ili kukuza Urafiki na Marekani!

Tanzania tunaweza kukubali offer ya Rais Trump wa Marekani ya kuwahifadhi Wakimbizi wa Palestine

Mwenzetu King Abdullah amekubali kupokea Wakimbizi Watoto 2000 kutoka Palestine

Ahsanteni 🐼
Umepata wapi hii habari? Sijaone sehemu yoyote ambako imeripotiwa.
 
Tanazania wachukue wapalestina ila wa kike tu wenye umri kati ya 18yrs na 25. Waje wawamwage uswahilini.

Tumechoka kunusa uvundo we weaving na mawig. At least na sisi tufeel ladha halisi ya nywele ya singa.
Hao wa kike ndio hatari zaidi
 
Nimeona kweli ,waarabu kinachowamaliza ni kama sisi waafrika wanasnichiana wenyewe kwa wenyewe jordan ni snitch kweli kakubali kuchukua 2000
Misaada ingekatwa + kuwekewa vikwazo vya kiuchumi, Putin mwenyewe amenywea sembuse waarabu! Trump ni kichaa anaionyesha dunia kuwa Marekani ni kila kitu, Africa hatuna umoja na waarabu nao wengi ni wajinga kama sisi.
 
Usalama wa Taifa tutawez kuatarsha has 10/20 years to come
 
Tanazania wachukue wapalestina ila wa kike tu wenye umri kati ya 18yrs na 25. Waje wawamwage uswahilini.

Tumechoka kunusa uvundo we weaving na mawig. At least na sisi tufeel ladha halisi ya nywele ya singa.
Hahaha,uvundo wa mawigi
 
Misaada ingekatwa + kuwekewa vikwazo vya kiuchumi, Putin mwenyewe amenywea sembuse waarabu! Trump ni kichaa anaionyesha dunia kuwa Marekani ni kila kitu, Africa hatuna umoja na waarabu nao wengi ni wajinga kama sisi.
Misaada hata ikikatwa jorda ina uwezo wa kujitegemea ni ulevi wa madaraka inaofanya viongozi wa kiarabu na kiafrica kukombatia dhulma
Vikwazo huwezi kuwekewa wakati hata eu imeona anachofanya trump hakina misingi ya sheria, na huko kuhusu greenland NATO wamesema watailinda kwa namna yoyote na kwa nguvu zote its not for sale
 
Jordan anapokea $1.2billion kama msaada kila mwaka. Ukatae iweje?

Kataa misaada.
Jordan ndio chimbuko kuu la Palestine Jordan alikuwa akimiliki Jerusalem na ule Msikiti maarufu.Nchi nyingine ni Misri kuna historia ndefu sana.
Bila kusahau Syria.
Lakini wanaamishwa Gaza ili iweje?
 
Jordan ndio chimbuko kuu la Palestine Jordan alikuwa akimiliki Jerusalem na ule Msikiti maarufu.Nchi nyingine ni Misri kuna historia ndefu sana.
Bila kusahau Syria.
Lakini wanaamishwa Gaza ili iweje?
US wanaotaka kuijenga upya Gaza, kwa hali ilivyo nivigumu kujenga watu wakiwepo, magorofa mengi yamebomolewa, hospotali shule n.k, lengo watu wahamie maeneo salama, mji ujengwe upya halafu warudishwe
 
US wanaotaka kuijenga upya Gaza, kwa hali ilivyo nivigumu kujenga watu wakiwepo, magorofa mengi yamebomolewa, hospotali shule n.k, lengo watu wahamie maeneo salama, mji ujengwe upya halafu warudishwe
Mkuu kutoka wapalestina itakuwa rahisi lakini kurudi Gaza tena sijui.....maanake yawezekana Israel akaamua nani arudi na nani asirudi.
Dawa ya kumaliza ukimbizi wa Wapestina ni kuwaunganisha West Bank,Jerusalem na Gaza iwe nchi mmoja ya WAPALESTINA TU.Kuliko vipande vipande.Au Misri ikawakatie kipande huko Sinai ili waishi bila kubugudhiwa.
 
Sasa si wafanye mkuu tuone? Kama Putin kanywea haswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…