Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Mfalme ni mvaa hivyo sana tu.... Jaribuni kuangalia picha za event zake hata akiwa home kwake[emoji35]
 
Ameanza kampeni za kugombea urais
 
Nomeiona hii picha yake mtandaoni,anaonekana uvaaji wake umejaa usela mwingi
 

Attachments

  • slide_484018_6642592_compressed.jpg
    21.3 KB · Views: 64
Nimeipenda tu tishet yake, anawakilisha cha Arusha kwa alama za kwa Obama,.. hapo lazima mtukufu afikirie mara mbili hili zao la biashara si haramu kabisa.
 
Mkuu mbona umekimbia? Au hujaona hizo picha nyingine? Yaan watu wa Lumumba mna taabu sana, eti unajiita mtaalamu wa mambo ya Photoshop
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ni ujinga kuamini watu wanaumizwa na kujengwa kwa misikiti. hili halina effect yoyote kwa mkristo. mkristo angeona wivu kidogo kama angesikia kinajengwa chuo kikubwa sana hapo angeona sasa anaanza kupata ushindani. binafsi nadhan hata rais ametumia akili tu kuomba msikiti for muslims. mi nashauri ijengwe misikiti mingi sana na waalikwe watu kama hawa wengi wajenge misikiti. nasisitiza misikiti. hilo ni jambo zuri zaidi. IJENGWE MISIKITI MINGI MIKUBWA MIKUBWA.
Nilichobain katika hili..suala msikit limewauma weng sana...
 
Mleta thread tuambie unasumbuliwa na ugonjwa gani? Maana wadau wa jf wamekuja na mapicha kibao ili kuthibitisha kuwa huyu jamaa yupo normal yaani simtu wakushobokea vyeo wala dini za watu . Inaonesha mfalme wetu pendwa anaishi kulingana na mazingira pamoja na wakati pia.
 
Ni ujinga zaid kutokwa povu kwa kusema hakuna effect wakat roho inakusuta...suala la ushindan ni ur own life mzee..lakin c ktk mambo ya iman ya mtu/taasis
 
we jinga sana hiyo picha real unasema photoshop? toka umelisikia hilo neno basi unakariri tu kila wakati ulitumie. kanishtak mimi sasa.


Upuuzi mtupu ,OLE WAKE ALIYETENGENEZA HIYO PHOTOSHOP,atajuta kuzaliwa
 
Kwa nini unalazimisha mfalme aishi maisha uyatakayo wewe?! Huyu ndie mfalme na hayo ndio mavazi yake na huyu ndie mfalme alieandaliwa dhifa ya KITAIFA na JPM na huyhuy msela ndie Mfalme kampigia goti kumuomba MSAADA angalau wa MSIKITI, sasa acha ajenge mkate kwenda kuswali hapo kama hamridhiki na maamuzi ya maisha yake.
 
njoo utetee uzi wako...zimeletwa picha nyingine kibaoooo...haya anza kuzizungushia viduara vyekundu tuone zilivyofotoshopiwa...watu wa Lumumba ni kama mmerogwa vile.
 
MSIKITI WA WAISLAM MKRIST ANAKUWA EFFECTED VIPI? YAANI KUNA WATU WALITEGEMEA AJE AJENGE KANISA? WATAKUWA WALEMEWA. Wewe UMASKINI WAKO NDO SHIDA. JAMAA ANATANGAZA BHANGI NA BENDERA YA USA THEN ANAKUJA KUKUJENGEA MSIKITI UKAMWABUDU ALLA na hao wamarekani anaowatangazia bendera yake ni makafiri kwa dini yenu yaani HAWAAMINI HABARI ZA MAJINI NA KUBWA LA MAJINI. sasa huoni kama unajichanganya?

Ni ujinga zaid kutokwa povu kwa kusema hakuna effect wakat roho inakusuta...suala la ushindan ni ur own life mzee..lakin c ktk mambo ya iman ya mtu/taasis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…