FARU JEURI
JF-Expert Member
- Sep 4, 2015
- 377
- 299
Mfalme ni mvaa hivyo sana tu.... Jaribuni kuangalia picha za event zake hata akiwa home kwake[emoji35]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameanza kampeni za kugombea uraisALIYE-PHOTOSHOP PICHA YA MFALME WA MOROCCO ALIKUA NA MALENGO GANI?
View attachment 425961
· Kuuchafua Uisalmu.
· Kuichafua nchi ya Morocco ya utawala wake.
· Kumchafua Mfalme wa Morroco binafsi.
· Kuichafua serikali ya Magufuli.
· Kuchafua Zanzibar.
Angalia (zoom) vizuri picha sehemu iliyozungushiwa duara utaona katikati kuna mstari unaomaanisha kuna muunganiko wa picha mbili ndani ya picha moja, angalia zaidi kwenye sikio palipozingishiwa kuna muunganiko wa masiko mawili tofauti. Hiyo ilkua ni kuthibitisha tu mchezo uliofanyika kwa wale ambao si wajuzi wa mambo haya mpaka kupelekea kudanganyika na kuona kwamba picha hiyo ni ya kweli mpaka wengine kufikia kuanzisha nyuzi kutokana na picha hiyo.
Swali la msingi nini ilkua malengo ya mtu huyu?
Ukija kugundua ni picha halisi na sio photoshop nahisi utajiona ni bonge la boya mkuu,hayo ndio maisha halisi ya mtukufu mfalme ...Photoshop..kichwa kikubwa kuliko mwili
Mkuu umemaliza kila kituNa Hizi nani kazi-Photoshop? Je hiyo Picha ina tofautigani na hizi za chini?
View attachment 425964
View attachment 425965
View attachment 425966
View attachment 425967
View attachment 425968
View attachment 425969
View attachment 425970
Mkuu mbona umekimbia? Au hujaona hizo picha nyingine? Yaan watu wa Lumumba mna taabu sana, eti unajiita mtaalamu wa mambo ya PhotoshopALIYE-PHOTOSHOP PICHA YA MFALME WA MOROCCO ALIKUA NA MALENGO GANI?
View attachment 425961
· Kuuchafua Uisalmu.
· Kuichafua nchi ya Morocco ya utawala wake.
· Kumchafua Mfalme wa Morroco binafsi.
· Kuichafua serikali ya Magufuli.
· Kuchafua Zanzibar.
Angalia (zoom) vizuri picha sehemu iliyozungushiwa duara utaona katikati kuna mstari unaomaanisha kuna muunganiko wa picha mbili ndani ya picha moja, angalia zaidi kwenye sikio palipozingishiwa kuna muunganiko wa masiko mawili tofauti. Hiyo ilkua ni kuthibitisha tu mchezo uliofanyika kwa wale ambao si wajuzi wa mambo haya mpaka kupelekea kudanganyika na kuona kwamba picha hiyo ni ya kweli mpaka wengine kufikia kuanzisha nyuzi kutokana na picha hiyo.
Swali la msingi nini ilkua malengo ya mtu huyu?
Nilichobain katika hili..suala msikit limewauma weng sana...
Ni ujinga zaid kutokwa povu kwa kusema hakuna effect wakat roho inakusuta...suala la ushindan ni ur own life mzee..lakin c ktk mambo ya iman ya mtu/taasisni ujinga kuamini watu wanaumizwa na kujengwa kwa misikiti. hili halina effect yoyote kwa mkristo. mkristo angeona wivu kidogo kama angesikia kinajengwa chuo kikubwa sana hapo angeona sasa anaanza kupata ushindani. binafsi nadhan hata rais ametumia akili tu kuomba msikiti for muslims. mi nashauri ijengwe misikiti mingi sana na waalikwe watu kama hawa wengi wajenge misikiti. nasisitiza misikiti. hilo ni jambo zuri zaidi. IJENGWE MISIKITI MINGI MIKUBWA MIKUBWA.
Upuuzi mtupu ,OLE WAKE ALIYETENGENEZA HIYO PHOTOSHOP,atajuta kuzaliwa
njoo utetee uzi wako...zimeletwa picha nyingine kibaoooo...haya anza kuzizungushia viduara vyekundu tuone zilivyofotoshopiwa...watu wa Lumumba ni kama mmerogwa vile.ALIYE-PHOTOSHOP PICHA YA MFALME WA MOROCCO ALIKUA NA MALENGO GANI?
View attachment 425961
· Kuuchafua Uisalmu.
· Kuichafua nchi ya Morocco ya utawala wake.
· Kumchafua Mfalme wa Morroco binafsi.
· Kuichafua serikali ya Magufuli.
· Kuchafua Zanzibar.
Angalia (zoom) vizuri picha sehemu iliyozungushiwa duara utaona katikati kuna mstari unaomaanisha kuna muunganiko wa picha mbili ndani ya picha moja, angalia zaidi kwenye sikio palipozingishiwa kuna muunganiko wa masiko mawili tofauti. Hiyo ilkua ni kuthibitisha tu mchezo uliofanyika kwa wale ambao si wajuzi wa mambo haya mpaka kupelekea kudanganyika na kuona kwamba picha hiyo ni ya kweli mpaka wengine kufikia kuanzisha nyuzi kutokana na picha hiyo.
Swali la msingi nini ilkua malengo ya mtu huyu?
Ni ujinga zaid kutokwa povu kwa kusema hakuna effect wakat roho inakusuta...suala la ushindan ni ur own life mzee..lakin c ktk mambo ya iman ya mtu/taasis
Unachanganya na mkono wa miwani