Kwa Mfalme wa Morocco, ni possible kwamba hazijachezewa but real!Mchambuzi hizi picha zimechezewa. Nilikuuliza kwa upole lakini bado unakazana kusema ni za kweli. Ziko picha nyingine (photoshop) zinamuonesha akiwa amevaa tops tofauti na hii iliyoweka hapa. MODs naomba muondoe huu upuuzi.
Moja ya mambo ambayo hayashangazi umma wa Morocco ni tabia ya Mfalme wao kujichangaza na watu wa kawaida hasa anapokuwa nje ya Morocco katika mazingira ambayo, ukimuona huwezi kugundua kwamba ni King! Hata hizo casual dressing codes wala si ajabu kuonekana nazo kwa huyo Mfalme...! By the way, hivi kilichokufanya uone ni serious crime hadi kuhoji kuwa na mgeni wa aina hiyo ni nini?! Hiyo casual dressing au kupiga selfie? Au ndo hayo madai kwamba "anatukuza bhangi?"
Na kwahiyo appearance na dressing yake, si ajabu ameifahamu vizuri Zanzibar kuliko kama angeanza kutembea na officla dressing au kutegemea watu wamwambie kitu kuhusu Zanzibar! Kwa staili hiyo si ajabu hata urojo ameula bila wauzaji kufahamu kwamba wanauza urojo kwa Mfalme!!
Now tell me, endapo wewe ungekuwa ndo JPM, baada ya kutafiti na kugundua hizi ndo tabia za Mfalme ndo basi tena ungefuta ziara yake; au?!
Au baada ya kuona photos za Zanzibar, ungempa 24 hours aondoke nchini?! What exactly would you do? Na hilo ungefanya in exchange to what au kwa faida ipi?
JPM isn't that stupid.
Acha kukuza mambo... ingekuwa kutinga suti au official dressing ndo kigezo cha decency ya mtu basi nchi hii isingekuwa na corrupt officials! Huyo kaonesha wazi kwamba alitaka asitambulike! Kwamba amevaa t-shirt ya mmea ni hoja dhaifu tena isiyo na chembe ya mashiko manake hizo T-Shirt zimejaa kila kona kati kati ya jiji! Kama ni haramu kuzivaa, kwanini zinaruhusiwa kuuzwa wazi wazi?!
Anyway, lakini siwezi kushangaa sana manake mwaka jana ulitangaza nia... na mtu akishaingia kwenye frontline politics, tarajia cheap arguments toka kwake hata kama hakuwa mtu wa hivyo before!!