Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Mchambuzi hizi picha zimechezewa. Nilikuuliza kwa upole lakini bado unakazana kusema ni za kweli. Ziko picha nyingine (photoshop) zinamuonesha akiwa amevaa tops tofauti na hii iliyoweka hapa. MODs naomba muondoe huu upuuzi.
Kwa Mfalme wa Morocco, ni possible kwamba hazijachezewa but real!
Mfalme akiwa katika starehe zake Zanzibar. Kama Taifa, tunajivunia nini Rais wetu kupokea mgeni wa aina hii? Tukisema hii ni aibu (alama ya bangi kifuani) kwa taasisi ya Rais, tutaitwa wachochezi?

@Ritz,@msemajiukweli,Lizaboni, @nguruvi3,Mag3
Moja ya mambo ambayo hayashangazi umma wa Morocco ni tabia ya Mfalme wao kujichangaza na watu wa kawaida hasa anapokuwa nje ya Morocco katika mazingira ambayo, ukimuona huwezi kugundua kwamba ni King! Hata hizo casual dressing codes wala si ajabu kuonekana nazo kwa huyo Mfalme...! By the way, hivi kilichokufanya uone ni serious crime hadi kuhoji kuwa na mgeni wa aina hiyo ni nini?! Hiyo casual dressing au kupiga selfie? Au ndo hayo madai kwamba "anatukuza bhangi?"

Na kwahiyo appearance na dressing yake, si ajabu ameifahamu vizuri Zanzibar kuliko kama angeanza kutembea na officla dressing au kutegemea watu wamwambie kitu kuhusu Zanzibar! Kwa staili hiyo si ajabu hata urojo ameula bila wauzaji kufahamu kwamba wanauza urojo kwa Mfalme!!
Morocco1.png


Morocco2.png


Morocco4.png


Morocco5.png

Now tell me, endapo wewe ungekuwa ndo JPM, baada ya kutafiti na kugundua hizi ndo tabia za Mfalme ndo basi tena ungefuta ziara yake; au?!

Morocco6.png


Morocco8.png


Au baada ya kuona photos za Zanzibar, ungempa 24 hours aondoke nchini?! What exactly would you do? Na hilo ungefanya in exchange to what au kwa faida ipi?

JPM isn't that stupid.

Acha kukuza mambo... ingekuwa kutinga suti au official dressing ndo kigezo cha decency ya mtu basi nchi hii isingekuwa na corrupt officials! Huyo kaonesha wazi kwamba alitaka asitambulike! Kwamba amevaa t-shirt ya mmea ni hoja dhaifu tena isiyo na chembe ya mashiko manake hizo T-Shirt zimejaa kila kona kati kati ya jiji! Kama ni haramu kuzivaa, kwanini zinaruhusiwa kuuzwa wazi wazi?!

Anyway, lakini siwezi kushangaa sana manake mwaka jana ulitangaza nia... na mtu akishaingia kwenye frontline politics, tarajia cheap arguments toka kwake hata kama hakuwa mtu wa hivyo before!!
 
ALIYE-PHOTOSHOP PICHA YA MFALME WA MOROCCO ALIKUA NA MALENGO GANI?

View attachment 425961
· Kuuchafua Uisalmu.

· Kuichafua nchi ya Morocco ya utawala wake.

· Kumchafua Mfalme wa Morroco binafsi.

· Kuichafua serikali ya Magufuli.

· Kuchafua Zanzibar.

Angalia (zoom) vizuri picha sehemu iliyozungushiwa duara utaona katikati kuna mstari unaomaanisha kuna muunganiko wa picha mbili ndani ya picha moja, angalia zaidi kwenye sikio palipozingishiwa kuna muunganiko wa masiko mawili tofauti. Hiyo ilkua ni kuthibitisha tu mchezo uliofanyika kwa wale ambao si wajuzi wa mambo haya mpaka kupelekea kudanganyika na kuona kwamba picha hiyo ni ya kweli mpaka wengine kufikia kuanzisha nyuzi kutokana na picha hiyo.

Swali la msingi nini ilkua malengo ya mtu huyu?
Oyaaa, mbona umekimbia.. njoo utetee uzi wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wewe umaskin wako ndo ujinga wako...povu la nn kama hujashikwa chini...wao hawaangalii anaetangaza bt anaejenga..mbona mashoga weng tu wa marekan wanajenga makanisa..
Ni ujinga kuaminishwa kua majin ni uislam ambavyo nafananisha na ujinga kumweka ktk nyumba zenu yule mwigazaji wenu na kumfanya yesu..[emoji3][emoji3]
 
nimeamini kweli dhambi ya uoga ni mbaya sana,hivi kweli picha kama hizi zinaweza kuwa ni photoshop? We mtoa mada kama hujui kitu kaa kimya
huyo mfalme wako unayemtetea ni muhuni tu na hana maadili ya kifalme
mfalme gani huyo anavuta bangi na viloba kwa maadili hayo ni kama anawajengea DAR LIVE tu,nyumba ya ibada haiwezi kujengwa na muuza bangi huyo
 
Haya yetu macho,maana Technology ikiwakuta majuha na wapumbavu siku zote huwapelekesha ila wanakuja kujutia mwisho.

Sifa za muda mitandaoni,mateso ya milele

Ujinga wa Mtu ni kile anachofikiri na kuamua
 
Back
Top Bottom