Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

unamjua zaid mfalme kuliko mke wake
 
Sleep on that if you want... you non believers gone be the 1St one DEAD!!! Keep Ya heads in the clouds if you want too, the government is our biggest enemy...
if you ain't got that paper, you will be eliminated
 
Ngoja niwasiliane na hao akina dada, ili nitoe jibu muafaka
 
HIYO SIO PHOTOSHOP, angalia picha zake zingine anavyojiachia. Google him umwone.

Jamaa ni mtu wa bata sana
Sio yeye huyo, Kwanza yeye mrefu zaidi ya huyo kisha akisimama huwa kifua juu. Huyo anaweza kuwa double yake
 
Itakuwa photo shop hii,ona huo mkono wa mfalme wa kushoto,umegusa kabisa ziwa la huyo dada!! Haiwezekani mfalme tena wa dini safi ya kiislam kufanya upuuzi wa aina hiyo HAIWEZEKANI HII PICHA KUWA KWELI.
usiwe mvivu katafute picha zake nyingine uone huyo mfalme alivyo msela km juma nature vile..
 
Najaribu kutafuta connection kati ya his majesty na uislam ila siioni maana mfalme ni mtu na sifa ya mtu ni kukengeuka na uislam ni iman ikatokea mtu kakengeuka au kazushiwa ukengeufu apo uislamu unakua umechafuliwa vp?
 
Jamani tuache kuhukumu watu kwa mavazi na vitu vingine uchwara. Ina maana na Rais Obama na Secret Service yote nao ni wapuuzi kumu host mfalme wa Morocco?

Ona picha hizi [emoji116][emoji116]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…