Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

mie niko zanzibar ngoja nitafatilia ni kweli alikuwa hivyo au ni photoshop, hili duka linaitwa memories of zanzibar
 
Kweli mapenzi upofu. Haya sasa.....watu wamekupa ushahidi kwamba hayo mambo ni machafu kweli na si uongo!! Kifuatacho??
 
Mkuu tafadhali sana badilisha hizo picha zitoe.....
Weka ile ambayo kavaa kawoshi yenye jani
 
Nimeelewa... na ndio maana nikahoji, kivipi ionekane ni crime kuvaa T-Shirt yenye picha ya mjani wakati T-Shirt hizo hizo na nguo sawa na hizo zinauzwa widely open tena kati kati ya jiji?! Hata kwenye maduka yetu ambako tunachukua kodi, nguo sawa na hizo zimejazana kibao!!

Sasa ikiwa anayevaa anatangaza bhangi, vipi kuhusu wale wanaouza widely open mbele ya macho ya serikali na ya walinda usalama?! Unaweza vipi kuacha watu wanauza gongo hadharani halafu useme wanywa gongo wanavunja sheria kwa kunywa pombe haramu? Unaweza vipi kuacha meno ya tembo yauzwe Mtaa wa Kongo halafu useme upeleke korokoroni wanunuzi wa meno hayo?!
 
Hao akina Obama walikusaidia nn?
Au tayar mwenzetu umenufaika na Sera yake ya ushoga ??
Usikute umeshaolewa tayar ndio maana unamkumbuka sana Obama wakat hana faida yoyote kwa watanzania
 
Jamani please sio vizuri kuweka picha kama hizo, huyo ni kiongozi mkuu wa watu, tumheshimu kuna maisha mengine ni y ndani tuyawache huko. mbona wabongo kila kitu mnapenda kuvishape ili mpate kiki ya kisiasa. Hapana Hapana hizi picha ni za kweli lakini haziendani na bandiko. Mods huu ni uchochezi ondoeni
 
Huwezi kumjibu kwa kiswahili? Au ndio kuonesha msisitizo?
 
HEADLINE: Kwanini waislam.wajengewe msikiti? Peiod
 
Hao akina Obama walikusaidia nn?
Au tayar mwenzetu umenufaika na Sera yake ya ushoga ??
Usikute umeshaolewa tayar ndio maana unamkumbuka sana Obama wakat hana faida yoyote kwa watanzania
Unaelewa unachoongea? Ni wakati wa ziara ya Rais wa Marekani nchini Tanzania, ndipo Marekani ilipoamua kutoa msaada mkubwa kabisa kwa nchi za kiafrika. Msaada mkubwa kabisa ulitolewa kwa Tanzania, iliyofuatia ilikuwa Ghana.

Ni pesa hiyo ya Wamarekani ndiyo iliyofanya miradi mikubwa kadhaa kama ile ya barabara na umeme iweze kutekelezeka.

Ni wakati huo ndipo maelfu ya kilometa za barabara zilijengwa. Leo tulivyo wajinga tunashangilia ujenzi wa njia moja ya barabara toka Mwenge hadi Morocco na njia mbili za barabara kutoka viwanja vya Furahisha mpaka uwanja wa ndege Mwanza, umbali usiozidi kilometa 4. Tulikuwa tunajenga maelfu ya kilometa bila mbwembwe lakini sasa tunajenga kilometa 4 kwa mbwembwe na sifa kila kona. Siamini kama sisi Watanzania ni wazima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…