Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

mie niko zanzibar ngoja nitafatilia ni kweli alikuwa hivyo au ni photoshop, hili duka linaitwa memories of zanzibar
 
Kweli mapenzi upofu. Haya sasa.....watu wamekupa ushahidi kwamba hayo mambo ni machafu kweli na si uongo!! Kifuatacho??
 
Mkuu tafadhali sana badilisha hizo picha zitoe.....
Weka ile ambayo kavaa kawoshi yenye jani
 
mie niko zanzibar ngoja nitafatilia ni kweli alikuwa hivyo au ni photoshop, hili duka linaitwa memories of zanzibar
Halafu nyingine hii hapa..mbona nguo tofauti joto lilizidi?
IMG-20161029-WA0000.jpg
 
nadhan hujaelewa watu wanachopigia kelele. kuvaa casual ni jambo zuri kabisa hasa anapojichanganya na watu wake nami napenda mfalme social kama yeye. suala ni kuvaa flana YENYE PICHA YA MAJANI YA BANGI NA KUTUKUZA BENDERA YA MAREKANI. MFALME ANATANGAZA BHANGI???????????????????????????????
Nimeelewa... na ndio maana nikahoji, kivipi ionekane ni crime kuvaa T-Shirt yenye picha ya mjani wakati T-Shirt hizo hizo na nguo sawa na hizo zinauzwa widely open tena kati kati ya jiji?! Hata kwenye maduka yetu ambako tunachukua kodi, nguo sawa na hizo zimejazana kibao!!

Sasa ikiwa anayevaa anatangaza bhangi, vipi kuhusu wale wanaouza widely open mbele ya macho ya serikali na ya walinda usalama?! Unaweza vipi kuacha watu wanauza gongo hadharani halafu useme wanywa gongo wanavunja sheria kwa kunywa pombe haramu? Unaweza vipi kuacha meno ya tembo yauzwe Mtaa wa Kongo halafu useme upeleke korokoroni wanunuzi wa meno hayo?!
 
hata kama dunia imetuchoka,basi isitufanyie hivi!!

kipindi cha jk tulishuhudia viongozi wenye nguvu kubwa ya uchumi na kijeshi kutoka marekani,china,na mataifa mengine wakitua Tanzania.

Hakika zilikuwa ziara nzito kwa nchi hii na ziliipeleka Tanzania kilometa milioni kwenye dunia ya diplomasia.

Baadae awamu hii tukaacha kwenda nje ya nchi,serikali nzima ikaacha kwenda nje ya nchi.

matokeo yake tukaanza kupata wageni ambao ni kichekesho kwa taifa.Jamani tujirekebisheView attachment 426049 View attachment 426049
Hao akina Obama walikusaidia nn?
Au tayar mwenzetu umenufaika na Sera yake ya ushoga ??
Usikute umeshaolewa tayar ndio maana unamkumbuka sana Obama wakat hana faida yoyote kwa watanzania
 
Jamani please sio vizuri kuweka picha kama hizo, huyo ni kiongozi mkuu wa watu, tumheshimu kuna maisha mengine ni y ndani tuyawache huko. mbona wabongo kila kitu mnapenda kuvishape ili mpate kiki ya kisiasa. Hapana Hapana hizi picha ni za kweli lakini haziendani na bandiko. Mods huu ni uchochezi ondoeni
 
We know you are very good in negative publicity but, just take a few minutes to do a simple research. All resources are available to enable you look credible at least for once. Otherwise, you expose your idocy to every Tom, Dick and Harry. You are a disgrace to Tanzania.
Huwezi kumjibu kwa kiswahili? Au ndio kuonesha msisitizo?
 
Katika kipindi cha wiki moja Serikali na Chama vimepitia katika mazingira yanayotasfiriwa kama usanii fulani hivi. Kwanza kabisa kulikuwa na ujio wa Mfalme wa Morocco akiambatana na timu kubwa na watu zaidi ya mia na hamsini. Ugeni huu ulikuwa na maandalizi ya shamrashamra za hali ya juu sana katika kiwango cha kupokelewa na Rais mwenyewe. Kabla hata hatujafika mbali vyombo vya habari kipenzi cha chama kikataka kupotosha idadi ya wageni. Ikatangazwa kuwa mfalme amewasili na delegates takribani 1500.
Ghafla baada ya Mfalme kuondoka stori ikaishia hapo. Upepo mkali umepita siku mbili hizi kana kwamba watu hawaamini kilichoahidiwa na mfalme. Kwamba mfalme aliahidi kujenga Misikiti Mkubwa na Uwanja wa Mpira, sijui mfalme katuonaje, kwamba sisi tunashida sana na misikiti? Aidha lifestyle ya mfalme imeanza kutia mashaka juu ya ujio wake, watu wameanza kuhoji alikuja kwenye HAPA KAZI TU ama alikuja kula bata?

Kabla wiki kukatika chama kikataka kuingizwa chaka na vyombo vya habari vikatangaza kuwa katika mtandao wa Forbes Rais Magufuli anaongozo kwa kura kama Raisi anayekubalika zaidi Afrika. Chama kikatuma vijana kuhamasisha na pia kikajiandaa kuitisha vyombo vya habari kukazia. Laah haula, kumbe mtandao feki?!!!!
Baba kuwa makini na baadhi ya wageni. Pia kuwa makini na walionyuma yako, baadhi wanatengeneza mazingira ya kukuchoresha

Photo-of-the-King-on-Vacation-Receives-Many-Comments-on-Social-Media.jpg

King-Mohammed-VI-magufuli.jpg

images
HEADLINE: Kwanini waislam.wajengewe msikiti? Peiod
 
Hao akina Obama walikusaidia nn?
Au tayar mwenzetu umenufaika na Sera yake ya ushoga ??
Usikute umeshaolewa tayar ndio maana unamkumbuka sana Obama wakat hana faida yoyote kwa watanzania
Unaelewa unachoongea? Ni wakati wa ziara ya Rais wa Marekani nchini Tanzania, ndipo Marekani ilipoamua kutoa msaada mkubwa kabisa kwa nchi za kiafrika. Msaada mkubwa kabisa ulitolewa kwa Tanzania, iliyofuatia ilikuwa Ghana.

Ni pesa hiyo ya Wamarekani ndiyo iliyofanya miradi mikubwa kadhaa kama ile ya barabara na umeme iweze kutekelezeka.

Ni wakati huo ndipo maelfu ya kilometa za barabara zilijengwa. Leo tulivyo wajinga tunashangilia ujenzi wa njia moja ya barabara toka Mwenge hadi Morocco na njia mbili za barabara kutoka viwanja vya Furahisha mpaka uwanja wa ndege Mwanza, umbali usiozidi kilometa 4. Tulikuwa tunajenga maelfu ya kilometa bila mbwembwe lakini sasa tunajenga kilometa 4 kwa mbwembwe na sifa kila kona. Siamini kama sisi Watanzania ni wazima!
 
Back
Top Bottom