Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Ayo n maisha ake binafs...achen kuleta siasa had kwny mambo binafs..
 
Mkuu, usifikiri kila mtu anajua kuwa hiyo ni picha ya jani. Mwingine kavutiwa tu na mpangilio wa hizo rangi. Yawezekana pia hajawahi kuona hiyo bangi inakuwaje
huu utetezi kiboko,Unadhani unaweza kwenda mahakamani na kujitetea usihukumiwe kwa kuwa hufahamu sheria??
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kama hizi ni picha zake halisi
 
Hio picha imetengenezwa tena na Mwanfunzi asiyejua vzuri ndio maana unaona hakuna uhusiano kati ya Miguu na eneo la kiwiliwili mpaka kichwani. Itz Photoshop material. Tujifunze kuheshimu viongoz wa mataifa ya wenzetu.
Angalia mguu wa kulia
 
Ayo n maisha ake binafs...achen kuleta siasa had kwny mambo binafs..
Kweli ni maisha yake binafsi kwani kama binadamu mwingine yoyote, alikwenda club mercury kunywa bia - Ndovu za kutosha na kutoa tips kwa wahudumu $100's nk. Lakini kuonekana katika hadhara kwenye ardhi ya Jamhuri ya muungano huku akiwa bado ni mgeni wa Rais muadilifu na tunaemheshimu, JPM akiwa amevaa nguo inayotukuza bangi? Hili ni tatizo kubwa sana na liwe Somo kwa washauri wa Rais.
 
Binafs con tatzo...
 
Non sense. Kivipi matendo yake binafsi yawakilishe dini, Nchi zingine zaidi ya nchi yake na watu wake kama picha ingekua ya kweli.
Mkuu, hata mimi nimemshangaa mleta Uzi kwa nini anaihusisha hiyo picha na uislam.
Halafu ukute wala siyo muislam ila kuleta vurugu tu hapa JF.
 
Waswahili kwa kukariri kila kitu ni Photoshop.
Ni suala la "zidumu fikra sahihi za Mwenyekiti", aliwafundisha jinsi ya kupambana na mambo kama haya, kwa mfano aliwaaminisha kwamba yale mafuriko ya wananchi kuunga mkono ukawa ilikuwa Photoshop.
 
Mgeni wa Rasmi wa Rais muadilifu JPM anavaa nguo yenye kutukuza bangi katika hadhara mnasema ni maisha yake binafsi? Where are our senses? Au tunaukubali utafiti kwamba sisi watanzania, mmoja Kati ya wanne tunaugua akili?
Mkuu bhangi sio suala la kulijadili saana ukizingatia Obama, na Clinton wameshasema hadharani walishawahi tumia Bhangi na hawadhani kama ina madhara sana kuliko pombe na madawa ya kulevya mengine. Kwako wewe na mimi ndio tunaona ni jambo la aibu sana kwa vile sheria zetu zimesema hivyo. Na ile picha inaweza kuwa inamaana nyingine kwake tofauti na ulivyoitafsiri au nioneshe mahala gani pametoa tafsiri rasmi ya kesheria ya kuonesha inawakilisha kutukuza bhangi.
 
Hapo kuna sura ya ufalme na sura ya ualisia.so huo ndo ualisia wke alishamalzana na manguful kwenye maswala ya ufalme.mwache avae uhusika wake wa kawaida ale bata zake kma kawa
 

mmhm ya kweli haya?!?..
 
Mpaka Page ya 17 uzi bado upo,sidhani kama ni photoshop.Otherwise mods watapoteza credibility.....Sina tatizo sana na Mfalme ''kutukuza'' ''wisdom herb'' ila shaka yangu ni kwa wale ndugu zetu waliopewa hisani ya kujengewa nyumba ya ibada.
 
Hapo kuna sura ya ufalme na sura ya ualisia.so huo ndo ualisia wke alishamalzana na manguful kwenye maswala ya ufalme.mwache avae uhusika wake wa kawaida ale bata zake kma kawa

Your words in pictures...
 
Mpaka Page ya 17 uzi bado upo,sidhani kama ni photoshop.Otherwise mods watapoteza credibility.....Sina tatizo sana na Mfalme ''kutukuza'' ''wisdom herb'' ila shaka yangu ni kwa wale ndugu zetu waliopewa hisani ya kujengewa nyumba ya ibada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…