M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Happy Birthday Mfalme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Funika kombe mwanaharamu apite....
Yaani alikuwa anabadilishia ndani humo humu.Ghulam, ni photoshop. Picha zote zinaonesha kama yuko Memories of Zanzibar lakini kavaa nguo tofauti. Watanzania tujifunze kuheshimu viongozi wa mataifa mengine, siasa za ndani ziwe na mipaka.
Mzee vipi kunywa maji mengi povu lisije likakunyonga.Leta huo ushahidi hapa. Mchambuzi na heshima zako umejiingizaje kwenye huu upuuzi? Una nia gani kuleta hizi picha zilizochezewa?
Umehakikisha vipi kwamba hizo picha zinamuoneaha Mfalme wa Morocco kiuhalisi na si Photoshop tu?Hii ni aibu kwa taifa. Aibu katuletea mkuu wa nchi. Kajiletea na yeye mwenyewe
Mgeni wa Rasmi wa Rais muadilifu JPM anavaa nguo yenye kutukuza bangi katika hadhara mnasema ni maisha yake binafsi? Where are our senses? Au tunaukubali utafiti kwamba sisi watanzania, mmoja Kati ya wanne tunaugua akili?
Namuamini mleta mada. Pengine kwake kwa muonekano huu si aibu. Na siamini mtu akurupuke tu akapandikize kichwa cha mfalme kwenye kiwiliwili kingine. Why?Umehakikisha vipi kwamba hizo picha zinamuoneaha Mfalme wa Morocco kiuhalisi na si Photoshop tu?
Unafahamu kwamba Mfalme wa Morocco ni "Defender of The Faith" , faith being Islam, na kwa mujibu wa ufalme huo, hatakiwi kuletea ufalme aibu ?
Mtasema yote kama kawaida yenu lakini ushahidi upo kwenye hadhara kubwa tu iliyokuwepo, camera za Club Mercury Zanzibar na pia katika Camera za "wahusika" ambao walikuwepo kwenye tukio.
Namuamini mleta mada. Pengine kwake kwa muonekano huu si aibu. Na siamini mtu akurupuke tu akapandikize kichwa cha mfalme kwenye kiwiliwili kingine. Why?
Siwezi kuleta Photoshop humu, this is genuine na mkitaka ushahidi upo.
MODS wana haki kabisa ya kusikiliza vilio vyenu maana ni kawaida yao kuacha threads zenye genuine content na kufuta zenye propaganda na matusi dhidi ya upande wa pili.
Tatizo lako unaamini sana.Namuamini mleta mada. Pengine kwake kwa muonekano huu si aibu. Na siamini mtu akurupuke tu akapandikize kichwa cha mfalme kwenye kiwiliwili kingine. Why?
It is for the healing of the nations.Marijuana is the stuff for the soul.
Nakujua mzee wa upaganini. Kuna mambo mengine yako very straight forward. Haihitaji beyond reasonable doubt kuelewa. Kwanza watazame hao wadada. Ni wazi kwa bashasha zao wako na mtu 'muhimu' sana. Hao wadada kwa muonekano tu heshima/haiba yao si ndogo. Wako na mjalmeTatizo lako unaamini sana.
Acha kuamini amini, tafuta kujua.
ndio maana ikatungwa sheria ya makiosa ya kimtandao...........!! huyu mtu ana hadhi yake , mnamvunjia heshima mkikamatwa mnakuwa wepesi kuilaumu serikali.Asante sana mkuu , huyu ndio wa kuwajengea msikiti watukufu waislam ?