Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Mjadala ulipaswa kubaki ktk title ya thread na si kukashfu imani za watu. Kwa mtizamo wangu, mfalme yupo sahihi....ni unafiki kutofanya jambo la kawaida ambalo mtu yeyote analifanya kwa kisingizio cha status yako.
 
Kuna uhusiano gani kati ya mfalme wa Moroco na Uislamu? yeye si muhumini tu au kuna jingine?
 
Ghulam, ni photoshop. Picha zote zinaonesha kama yuko Memories of Zanzibar lakini kavaa nguo tofauti. Watanzania tujifunze kuheshimu viongozi wa mataifa mengine, siasa za ndani ziwe na mipaka.
Yaani alikuwa anabadilishia ndani humo humu.
 
Leta huo ushahidi hapa. Mchambuzi na heshima zako umejiingizaje kwenye huu upuuzi? Una nia gani kuleta hizi picha zilizochezewa?
Mzee vipi kunywa maji mengi povu lisije likakunyonga.

Uzi bado upo hewani unaonaje wewe otherwise tupe picha
 
Hii ni aibu kwa taifa. Aibu katuletea mkuu wa nchi. Kajiletea na yeye mwenyewe
 
Hii ni aibu kwa taifa. Aibu katuletea mkuu wa nchi. Kajiletea na yeye mwenyewe
Umehakikisha vipi kwamba hizo picha zinamuoneaha Mfalme wa Morocco kiuhalisi na si Photoshop tu?

Unafahamu kwamba Mfalme wa Morocco ni "Defender of The Faith" , faith being Islam, na kwa mujibu wa ufalme huo, hatakiwi kuletea ufalme aibu ?
 
Mgeni wa Rasmi wa Rais muadilifu JPM anavaa nguo yenye kutukuza bangi katika hadhara mnasema ni maisha yake binafsi? Where are our senses? Au tunaukubali utafiti kwamba sisi watanzania, mmoja Kati ya wanne tunaugua akili?

Tunaugua kichaa zaidi ya mmoja kati ya wanne.

Hii Photoshop haina mguu wa kulia.

Can you explain that?
 
Umehakikisha vipi kwamba hizo picha zinamuoneaha Mfalme wa Morocco kiuhalisi na si Photoshop tu?

Unafahamu kwamba Mfalme wa Morocco ni "Defender of The Faith" , faith being Islam, na kwa mujibu wa ufalme huo, hatakiwi kuletea ufalme aibu ?
Namuamini mleta mada. Pengine kwake kwa muonekano huu si aibu. Na siamini mtu akurupuke tu akapandikize kichwa cha mfalme kwenye kiwiliwili kingine. Why?
 
Mtasema yote kama kawaida yenu lakini ushahidi upo kwenye hadhara kubwa tu iliyokuwepo, camera za Club Mercury Zanzibar na pia katika Camera za "wahusika" ambao walikuwepo kwenye tukio.

Wewe nawe...tangu uangukie pua hujakaa sawa. With time you will heal.
 
Namuamini mleta mada. Pengine kwake kwa muonekano huu si aibu. Na siamini mtu akurupuke tu akapandikize kichwa cha mfalme kwenye kiwiliwili kingine. Why?

Na picha kutokuwa na mguu wa kulia?

Hapo pia hajakurupuka?

Au Mfalme kapata kilema khafla?
Labda Muhimbili walimkata mguu baada ya kupata ajali ya bodaboda?
 
Siwezi kuleta Photoshop humu, this is genuine na mkitaka ushahidi upo.

MODS wana haki kabisa ya kusikiliza vilio vyenu maana ni kawaida yao kuacha threads zenye genuine content na kufuta zenye propaganda na matusi dhidi ya upande wa pili.

Then please explain the missing leg.
 
Namuamini mleta mada. Pengine kwake kwa muonekano huu si aibu. Na siamini mtu akurupuke tu akapandikize kichwa cha mfalme kwenye kiwiliwili kingine. Why?
Tatizo lako unaamini sana.

Acha kuamini amini, tafuta kujua.
 
Tatizo lako unaamini sana.

Acha kuamini amini, tafuta kujua.
Nakujua mzee wa upaganini. Kuna mambo mengine yako very straight forward. Haihitaji beyond reasonable doubt kuelewa. Kwanza watazame hao wadada. Ni wazi kwa bashasha zao wako na mtu 'muhimu' sana. Hao wadada kwa muonekano tu heshima/haiba yao si ndogo. Wako na mjalme
 
photoshop, kwenye kidole alikuwa amevaa pete kubwa, hapo kavaa sijui mapete gani...!
 
Asante sana mkuu , huyu ndio wa kuwajengea msikiti watukufu waislam ?
ndio maana ikatungwa sheria ya makiosa ya kimtandao...........!! huyu mtu ana hadhi yake , mnamvunjia heshima mkikamatwa mnakuwa wepesi kuilaumu serikali.
 
Back
Top Bottom