Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Kuona na kupata maelezo ya ulichokiona ni vitu viwili tofauti. Ufahamu hutokana na kupata maekezo/taarifa ya ulichokiona. Wewe umefamamishwa kuhusu mfalme wa morocco kupitia vyanzo tofauti, hivyo unamfahamu. Nami nimemfahamu japo kidogo baada ya ujio wake nchini. Nikazidi kumfahamu kupitia vyanzo mbalinbali vya habari.
Ushakutana naye?
 
Inawezekana kabisa sina akili lakini wewe ni hauna uelewa hata kidogo. GDP ya Morocco ni about $100billion, GDP ya Tanzania ni about $50billion. Upo hapo? Barani Afrika nchi inayoongoza ni Nigeria. Morocco ni ya tano ikitanguliwa na Nigeria, South Africa, Egypt, na Algeria, upo? Morocco imeipita Angola kwa kiasi kidogo sana, baada ya Angola ni Tanzania tukiwa ni wa saba, upo? Tunajitapa kwamba hatuhitaji misaada, mwisho wa siku tunakimbilia misaada ya nchi inayofanana na Angola kiuchumi.
82b8f59353f49d8184feb569108e6d8f.jpg

Hapana, ni kweli Nigeria wanaongoza ila Tanzania inaachwa mbali mno na Morocco haifikii hata nusu ya GDP ya Morocco. Morocco ni ya tano kwa GDP ya zaidi ya $ 100Bn, wakati sisi tuna $46Bn tu!
Ila kwa per capita income (pato la mtu mmojammoja baada ya kugawa pato la Taifa kwa idadi ya watu) Afrika inaongozwa na tajiri mpya wa mafuta Equatorial Guinea ambayo kila raia wa nchi hiyo anakadiriwa pato la $ 16,000 (Tsh zaidi ya 35m kwa mwaka au karibu Tsh 3m kila Mwezi) na Seychelles ikiwa ya tatu na Tanzania ya hamsini kwa pato la $720 (kama Tsh 1 u nusu kwa mwaka).

Ila kwa per capita income (pato la mtu mmojammoja baada ya kugawa pato la Taifa kwa idadi ya watu) Afrika inaongozwa na tajiri mpya wa mafuta Equatorial Guinea ambayo kila raia wa nchi hiyo anakadiriwa pato la $ 16,000 (Tsh zaidi ya 35m kwa mwaka au Tsh karibu 3m kila Mwezi) na Seychelles ikiwa ya tatu na Tanzania ya hamsini kwa pato la $720 kwa mwaka.
 
GDP ya Morocco haijavuka $110b Tanzania a little bit under $50b. Hoja ya msingi ilikuwa kwamba tunajichanganya pale tunaposema hatuhitaji misaada ya nje (rejea sakata la MCC na majibu ya CCM), lakini tunaita waandishi wa habari kusherekea misaada kutoka nchi kama Morocco ambayo Uchumi wake ni mdogo sana, hauna tofauti kubwa na Angola.

Kuhusu GDP per capita, hiki Kipimo kinaficha mengi Afrika, hakina uhusiano wowote na income distribution ndani ya taifa, welfare ya wananchi afya, Elimu, maji nk.

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
Watanzania ni watu wanaojali sana wavazi ya mtu, mtanzania anamukumu mtanzania mwengine kutokana na vazi alilovaa.

Si muda mrefu mtanzania hasa mwanamke alikuwa haruhusiwi kuingia kata Ofisi fulani za serikali eti kwasababu hajavaa kiheshima.

Nimeshawahi kuona uzi humu kwehye FB unaomzungumza yule dada Naibu Spika eti kavaa vibaya wakiti akiwa kwenye usafi wa Rais Magufuli.

Sasa tumtizame huyu Mfalme, sio Rais huyu ni Mfame wa moja katika nchi za Afrika zinazojiweza, nchi inajiweza mapaka waliamua wasiwe katia African Union, kwani nchi za Africa hazina muonekaneo wa maendeleo.

Toa tathimini yako ya haya mavazi ya Mfalme wa Morocco alipokuwa katika mitaa ya Zanzibar

mfalme.jpg

mfa.jpg
 
Yeye ni mfalme wa Moroko na sisi ni Watanzania...ana tamaduni zake/zao na sisi tuna zetu. Wana namna zao za uvaaji na sisi tuna zetu. Wanatafsiri ya mavazi ya stara kivyao na sisi stara ipo kwa namna yetu. Wana "yao" na sisi tuna "yetu"
Ni upunguani wa hali ya juu kumtumia mfalme wa Morocco kama kiigizo chema kwetu!
 
Ndio maana watanzania tunapinga utawala wa kisultani.huyu sasa anavaa alama ya jani la bange lenye alama za "stars and stripes" inaleta maana gani?
 
Wamorroko asilimia 100 ni waislam,kuna mafungu aina mbili ya watu warabu jamii ya mfalme na wabarberi,lakini mfalme kaonesha kuwa kila mtu kama binadamu ana uwezo wa kuvaa kile anachopenda.

Tanzania ina zaidi ya makabila 250,yaani Tanzania ina zaidi ya mila na tamaduni 250 na ushei,kila kabila lina utamaduni wake wa kuvaa na mambo mengine,Tanzania ina asili mia 50 wakristo na asilimia 50,waislamu....sasa mkuu ukinambia tamaduni na mila zetu za kumkataza mtanzania asivaae anachotaka ni ipi?...

wazo langu wanasiasa wa Tanzania wanatumia siasa kuwakabili(control) watanzania katika uhuru na haki zao za kibinadamu kama kuvaa nk
ukumbuke sote tutaondoka duniani siku moja...
 
Ndio maana watanzania tunapinga utawala wa kisultani.huyu sasa anavaa alama ya jani la bange lenye alama za "stars and stripes" inaleta maana gani?
Uhuru na haki yake kama binadamu kitu ambacho watanzania hatujazoea lakini inatakiwa tujifunze,,,,"Freedom of speach","Freedom of expresion", ni njia moja wapo ya kuleta maendeleo katika nchi,kuheshimu wazo na fikra za mwengine ni moja kati ya mambo yanayoondoa migogoro katika jamii
 
Mkuu chabuso; nakubaliana na hoja yako; ina mashiko na nayaheshimu mawazo yako. Ila pamoja na kuwa na makabila yote hayo bado tuna ufanano "identity" kama Watanzania. Tamaduni zetu zipo wazi kabisa kuhusu mavazi. Mwanamke wa "kikwetu" tamaduni inamtaka avae asitirike.
 
Tuzidi kuwafahamu ndugu zetu waafrica wa huko Morocco maana ukifika miji ya Fez na Casablanca kuna mengine ya kuyafahamu kuanzia ustadi wa kuchonga vito vya thamani kama almasi ndiyo maana Morocco inajulikana kama ''Antwerp'' (Belgium) ya Afrika mpaka kumbi za starehe. Kuna wataalamu wa kuchonga Almasi toka TANCUT ALMASI Tanzania wamelowea n.k

Chaabi Marocain 2015 - dima chaaiba - Said Drafat - Jadid Chikhat 2015 + L9a3da - رقص شعبي رائع
https:
Source: swato mark
 
Mkuu chabuso; nakubaliana na hoja yako; ina mashiko na nayaheshimu mawazo yako. Ila pamoja na kuwa na makabila yote hayo bado tuna ufanano "identity" kama Watanzania. Tamaduni zetu zipo wazi kabisa kuhusu mavazi. Mwanamke wa "kikwetu" tamaduni inamtaka avae asitirike.
Binafsi asingekua mfalme ningedhani choko kwa hayo mavazi... [emoji87]
 
huyu sasa anavaa alama ya jani la bange lenye alama za "stars and stripes" inaleta maana gani?

(ngoja nimjibu kwa kumpa jibu la kuivuruga mada)

ile ni alama ya kifrimasoni,mpinga dini za mitume ya mungu.

alama ya kiiluminati,shetani mnyonyadamu,mkuu wa nguvu za giza,kuzimu,motoni.

alama ya wachawi wa dunia,wenye nguvu zaidi.
 
Kwa hiyo umedanganywa Morocco waliamua wao kutokua AU?
 
Freedom to be a pupett,freedom to decide who you want to be, "shoga" for instance.
Yap,ushoga for instance,kama unataka kuwa shoga,mimi sio wakukuamulia...,hiyo ni shauri yako na mungu wako
mkuu ...
 
Back
Top Bottom