Ushakutana naye?Kuona na kupata maelezo ya ulichokiona ni vitu viwili tofauti. Ufahamu hutokana na kupata maekezo/taarifa ya ulichokiona. Wewe umefamamishwa kuhusu mfalme wa morocco kupitia vyanzo tofauti, hivyo unamfahamu. Nami nimemfahamu japo kidogo baada ya ujio wake nchini. Nikazidi kumfahamu kupitia vyanzo mbalinbali vya habari.
Inawezekana kabisa sina akili lakini wewe ni hauna uelewa hata kidogo. GDP ya Morocco ni about $100billion, GDP ya Tanzania ni about $50billion. Upo hapo? Barani Afrika nchi inayoongoza ni Nigeria. Morocco ni ya tano ikitanguliwa na Nigeria, South Africa, Egypt, na Algeria, upo? Morocco imeipita Angola kwa kiasi kidogo sana, baada ya Angola ni Tanzania tukiwa ni wa saba, upo? Tunajitapa kwamba hatuhitaji misaada, mwisho wa siku tunakimbilia misaada ya nchi inayofanana na Angola kiuchumi.

GDP ya Morocco haijavuka $110b Tanzania a little bit under $50b. Hoja ya msingi ilikuwa kwamba tunajichanganya pale tunaposema hatuhitaji misaada ya nje (rejea sakata la MCC na majibu ya CCM), lakini tunaita waandishi wa habari kusherekea misaada kutoka nchi kama Morocco ambayo Uchumi wake ni mdogo sana, hauna tofauti kubwa na Angola.
Hapana, ni kweli Nigeria wanaongoza ila Tanzania inaachwa mbali mno na Morocco haifikii hata nusu ya GDP ya Morocco. Morocco ni ya tano kwa GDP ya zaidi ya $ 100Bn, wakati sisi tuna $46Bn tu!
Ila kwa per capita income (pato la mtu mmojammoja baada ya kugawa pato la Taifa kwa idadi ya watu) Afrika inaongozwa na tajiri mpya wa mafuta Equatorial Guinea ambayo kila raia wa nchi hiyo anakadiriwa pato la $ 16,000 (Tsh zaidi ya 35m kwa mwaka au karibu Tsh 3m kila Mwezi) na Seychelles ikiwa ya tatu na Tanzania ya hamsini kwa pato la $720 (kama Tsh 1 u nusu kwa mwaka).
Hapana, ni kweli Nigeria wanaongoza ila Tanzania inaachwa mbali mno na Morocco haifikii hata nusu ya GDP ya Morocco. Morocco ni ya tano kwa GDP ya zaidi ya $ 100Bn, wakati sisi tuna $46Bn tu!
Ila kwa per capita income (pato la mtu mmojammoja baada ya kugawa pato la Taifa kwa idadi ya watu) Afrika inaongozwa na tajiri mpya wa mafuta Equatorial Guinea ambayo kila raia wa nchi hiyo anakadiriwa pato la $ 16,000 (Tsh zaidi ya 35m kwa mwaka au Tsh karibu 3m kila Mwezi) na Seychelles ikiwa ya tatu na Tanzania ya hamsini kwa pato la $720 kwa mwaka.
Yeye ni mfalme wa Moroko na sisi ni Watanzania...ana tamaduni zake/zao na sisi tuna zetu. Wana namna zao za uvaaji na sisi tuna zetu. Wanatafsiri ya mavazi ya stara kivyao na sisi stara ipo kwa namna yetu. Wana "yao" na sisi tuna "yetu"
Ni upunguani wa hali ya juu kumtumia mfalme wa Morocco kama kiigizo chema kwetu!
Uhuru na haki yake kama binadamu kitu ambacho watanzania hatujazoea lakini inatakiwa tujifunze,,,,"Freedom of speach","Freedom of expresion", ni njia moja wapo ya kuleta maendeleo katika nchi,kuheshimu wazo na fikra za mwengine ni moja kati ya mambo yanayoondoa migogoro katika jamiiNdio maana watanzania tunapinga utawala wa kisultani.huyu sasa anavaa alama ya jani la bange lenye alama za "stars and stripes" inaleta maana gani?
Freedom to be a pupett,freedom to decide who you want to be, "shoga" for instance.,"Freedom of speach","Freedom of expresion",
Binafsi asingekua mfalme ningedhani choko kwa hayo mavazi... [emoji87]Mkuu chabuso; nakubaliana na hoja yako; ina mashiko na nayaheshimu mawazo yako. Ila pamoja na kuwa na makabila yote hayo bado tuna ufanano "identity" kama Watanzania. Tamaduni zetu zipo wazi kabisa kuhusu mavazi. Mwanamke wa "kikwetu" tamaduni inamtaka avae asitirike.
huyu sasa anavaa alama ya jani la bange lenye alama za "stars and stripes" inaleta maana gani?
Yap,ushoga for instance,kama unataka kuwa shoga,mimi sio wakukuamulia...,hiyo ni shauri yako na mungu wakoFreedom to be a pupett,freedom to decide who you want to be, "shoga" for instance.