Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Nakubaliana na wewe mkuu,lakini nchi kama Tanzania yenye utamaduni ya baadhi ya mabila yanakwenda nusu uchi,sioni kama ni sawa kuwalazimisha watu wavae kama wanasiasa au watu wadini wanavyotaka
 
TANZANIA HAKUNA MAKABILA 250 NA WALA SI KWELI KWAMBA KUNA WAKRISTO 50% NA WAISLAM 50%.

MAKABILA NI AROUND 120 NA KUHUSU DINI KUNA WAKRISTU,WAISLAM NA WAKO WASIO NA DINI
Mchambuzi hizi picha zimechezewa. Nilikuuliza kwa upole lakini bado unakazana kusema ni za kweli. Ziko picha nyingine (photoshop) zinamuonesha akiwa amevaa tops tofauti na hii iliyoweka hapa. MODs naomba muondoe huu upuuzi.
 
Aah aah fally ipupa associe....mtukufu atakuwa ameenjoy his stay in tz-bara na tz-visiwani.
 
WAKO WASIO NA DINI
Ngoja msafiri nao,hasa ziwani au hata nchi kavu, halafu chombo kiyumbe kidogo utaskia mtumee! Yesu na maria! Hawa sii kama hawana dini bali ni "wanafiki" ktk kundi hili ndio utakuta "wachawi" kwa aslimia kubwa.
 
Waongo nyie,picha moja kila sehem,mlifanikiwa kupiga picha moja tuu?
 
Kwani magufuli yeye ni mkamilifu? Hata vitabu vya dini vinasema hata yesu alikaa na vibaka, malaya, watoza ushuru etc. Hata mtume Mhamadi naye hakuwatenga watenda dhambi. Sasa magufuli anautukufu gani kujitenga?
 
Maendeleo ya ukweli yanaangaliwa Kwa maisha halisi ya watu kiuhalisia sio hizo GDP na takwimu za vitabuni! Alafu hoja yangu ya msingi ilikiwa suala la Nguo yaani uvaaji wake anapokuwa mapumzikoni ,uwezo wa kiutawala pamoja na mafanikio Kwa watu wake. Nyie endeleeni kushine Na Suti
 
sasa kwa mfano lingekuwa jani la mpapai mngesemaje?mwacheni mfalme aligalize
 
Unga unga wa pembe za faru John muhimu, una hela balaa huko middle east
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…