Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Naona kwenye t-shirt kuna nembo ya kitu ya meru ya marekani

Sahihisha mkuu hiyo sio ktu ya Meru bali kitu ya Oldonyosambu. We acha tu. Mkuu kaitangaza kikweli kweli hapo. Nadhani mh Msukuma atawasilisha hoja binafsi bunge lijalo kuwa tuifanye zao letu la biashara na sasa tuna soko.
 
Siwezi kuleta Photoshop humu, this is genuine na mkitaka ushahidi upo.

MODS wana haki kabisa ya kusikiliza vilio vyenu maana ni kawaida yao kuacha threads zenye genuine content na kufuta zenye propaganda na matusi dhidi ya upande wa pili.

Leta huo ushahidi hapa. Mchambuzi na heshima zako umejiingizaje kwenye huu upuuzi? Una nia gani kuleta hizi picha zilizochezewa?
 
Photoshop. Acheni mambo ya kipuuzi.
Hahahahaha kuna mtu kapiga naye pic tena kamuuliza nitupie fb kamwambie as you wish ila alivaa tofaufi na hivyo kwa rangi take ingawa mavazi yanafanana
 
Mgeni wa Rasmi wa Rais muadilifu JPM anavaa nguo yenye kutukuza bangi katika hadhara mnasema ni maisha yake binafsi? Where are our senses? Au tunaukubali utafiti kwamba sisi watanzania, mmoja Kati ya wanne tunaugua akili?


Mchambuzi;
Hukumsikia Mh, Msukuma akisema kule bungeni kuwa, humo humo bungeni wanaipuliza kwa kwenda mbele?? Nadhani bunge lijalo, kwa sababu ya huyu mhishimiwa kuitangaza kinoma hivi, mh. Msukuma ataomba lihalalishwe liwe zao la biashara manake soko lipo sasa.
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha. Hivi sasa vipi kuhusu ile mikataba kama mambo ya mzee ndio hayo.
 
Tamaduni zinatofautiana. Haramu kwako halali kwa wengine... Mfano sie Wakristo tunaopiga pork, wenzetu wa Imani nyingine wanaweza kutuona hatuna maadili wakati sie tunaona poa tu... Pia wenzetu kuoa wake wane wao wanaweza kuona poa tu wakati sie Wakristo tunaona ni uhuni tu uliohalalishwa...
 
Ghulam, ni photoshop. Picha zote zinaonesha kama yuko Memories of Zanzibar lakini kavaa nguo tofauti. Watanzania tujifunze kuheshimu viongozi wa mataifa mengine, siasa za ndani ziwe na mipaka.
Huyo aliye piga naye namfahamu ni rafiki

Halafu sijaona shida kwa alivyovaaa May be ni sehem ya style yake ya kuvaa akiwa nje ya shughuli za kikazi
 
Ghulam, ni photoshop. Picha zote zinaonesha kama yuko Memories of Zanzibar lakini kavaa nguo tofauti. Watanzania tujifunze kuheshimu viongozi wa mataifa mengine, siasa za ndani ziwe na mipaka.
Halafu aliyepiga naye alimuomba mlinzi mlinzi akamwambia mwambie mwenyewe

Binti akamwambia naomba niweke fb jamaa kamwambia as you wish wewe unasema photoshop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…