Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona kwenye t-shirt kuna nembo ya kitu ya meru ya marekani
Siwezi kuleta Photoshop humu, this is genuine na mkitaka ushahidi upo.
MODS wana haki kabisa ya kusikiliza vilio vyenu maana ni kawaida yao kuacha threads zenye genuine content na kufuta zenye propaganda na matusi dhidi ya upande wa pili.
Hahahahaha kuna mtu kapiga naye pic tena kamuuliza nitupie fb kamwambie as you wish ila alivaa tofaufi na hivyo kwa rangi take ingawa mavazi yanafananaPhotoshop. Acheni mambo ya kipuuzi.
Mgeni wa Rasmi wa Rais muadilifu JPM anavaa nguo yenye kutukuza bangi katika hadhara mnasema ni maisha yake binafsi? Where are our senses? Au tunaukubali utafiti kwamba sisi watanzania, mmoja Kati ya wanne tunaugua akili?
View attachment 425812
Mfalme akiwa katika starehe zake Zanzibar. Kama Taifa, tunajivunia nini Rais wetu kupokea mgeni wa aina hii? Tukisema hii ni aibu (alama ya bangi kifuani) kwa taasisi ya Rais, tutaitwa wachochezi?
@Ritz,@msemajiukweli,Lizaboni, @nguruvi3,Mag3
Huyo aliye piga naye namfahamu ni rafikiGhulam, ni photoshop. Picha zote zinaonesha kama yuko Memories of Zanzibar lakini kavaa nguo tofauti. Watanzania tujifunze kuheshimu viongozi wa mataifa mengine, siasa za ndani ziwe na mipaka.
Halafu aliyepiga naye alimuomba mlinzi mlinzi akamwambia mwambie mwenyeweGhulam, ni photoshop. Picha zote zinaonesha kama yuko Memories of Zanzibar lakini kavaa nguo tofauti. Watanzania tujifunze kuheshimu viongozi wa mataifa mengine, siasa za ndani ziwe na mipaka.
Waweza Ziweka Hizo Picha Zingine Hapa Jf?Mchambuzi hizi picha zimechezewa. Nilikuuliza kwa upole lakini bado unakazana kusema ni za kweli. Ziko picha nyingine (photoshop) zinamuonesha akiwa amevaa tops tofauti na hii iliyoweka hapa. MODs naomba muondoe huu upuuzi.