Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi mwenyewe nilivyoziona hizo picha nilishiwa nguvu mwili na roho kama wamezi photoshop watakuwa na lao jambo washughulikiweALIYE-PHOTOSHOP PICHA YA MFALME WA MOROCCO ALIKUA NA MALENGO GANI?
View attachment 425961
· Kuuchafua Uisalmu.
· Kuichafua nchi ya Morocco ya utawala wake.
· Kumchafua Mfalme wa Morroco binafsi.
· Kuichafua serikali ya Magufuli.
· Kuchafua Zanzibar.
Angalia (zoom) vizuri picha sehemu iliyozungushiwa duara utaona katikati kuna mstari unaomaanisha kuna muunganiko wa picha mbili ndani ya picha moja, angalia zaidi kwenye sikio palipozingishiwa kuna muunganiko wa masiko mawili tofauti. Hiyo ilkua ni kuthibitisha tu mchezo uliofanyika kwa wale ambao si wajuzi wa mambo haya mpaka kupelekea kudanganyika na kuona kwamba picha hiyo ni ya kweli mpaka wengine kufikia kuanzisha nyuzi kutokana na picha hiyo.
Swali la msingi nini ilkua malengo ya mtu huyu?
Naililia Tanzania , kutoka kuwa NCHI hadi kuwa kiji nchi !hata kama dunia imetuchoka,basi isitufanyie hivi!!
kipindi cha jk tulishuhudia viongozi wenye nguvu kubwa ya uchumi na kijeshi kutoka marekani,china,na mataifa mengine wakitua Tanzania.
Hakika zilikuwa ziara nzito kwa nchi hii na ziliipeleka Tanzania kilometa milioni kwenye dunia ya diplomasia.
Baadae awamu hii tukaacha kwenda nje ya nchi,serikali nzima ikaacha kwenda nje ya nchi.
matokeo yake tukaanza kupata wageni ambao ni kichekesho kwa taifa.Jamani tujirekebisheView attachment 426049 View attachment 426049
alipigia chumbani kwake au public area?Jamani please sio vizuri kuweka picha kama hizo, huyo ni kiongozi mkuu wa watu, tumheshimu kuna maisha mengine ni y ndani tuyawache huko. mbona wabongo kila kitu mnapenda kuvishape ili mpate kiki ya kisiasa. Hapana Hapana hizi picha ni za kweli lakini haziendani na bandiko. Mods huu ni uchochezi ondoeni
Unamkubali yupi sasa , huyu mvaa visingilend vyenye picha ya kitu cha Nkata bay ?Namkubali sana sana huyu mtu
HahahahahaHuyu wa morocco waislamu mmeingizwa chaka ndugu zangu..ehehe! Amekula tisheti lake la mmea wa Marley kweli?
Unaelewa unachoongea? Ni wakati wa ziara ya Rais wa Marekani nchini Tanzania, ndipo Marekani ilipoamua kutoa msaada mkubwa kabisa kwa nchi za kiafrika. Msaada mkubwa kabisa ulitolewa kwa Tanzania, iliyofuatia ilikuwa Ghana.
Ni pesa hiyo ya Wamarekani ndiyo iliyofanya miradi mikubwa kadhaa kama ile ya barabara na umeme iweze kutekelezeka.
Ni wakati huo ndipo maelfu ya kilometa za barabara zilijengwa. Leo tulivyo wajinga tunashangilia ujenzi wa njia moja ya barabara toka Mwenge hadi Morocco na njia mbili za barabara kutoka viwanja vya Furahisha mpaka uwanja wa ndege Mwanza, umbali usiozidi kilometa 4. Tulikuwa tunajenga maelfu ya kilometa bila mbwembwe lakini sasa tunajenga kilometa 4 kwa mbwembwe na sifa kila kona. Siamini kama sisi Watanzania ni wazima!
hapanaHata viongozi wana maisha binafsi ya kiraia na wana haki ya kuwa huru. Sio kila saa Misuti na mitai
Halafu katoka nduukiMleta mada kapigwa za uso
Nina shida na 'likes' saana mkuuHahahahaha
Na hiyo nguo yenye picha ya bange nayo imeeditiwa?
nasikia aliwauliza masela kama wana kipisi cha "gari moshi" nadhani mzigo ulipunguaKalipuka kinyamwezi labda alipita Kariakoo kununua mitumba kabla ya kwenda Zenji.