Mfalme wa Reggae Bongo Kupuuzwa na Fid Q na Madee Miaka 30 Bongo fleva

Mfalme wa Reggae Bongo Kupuuzwa na Fid Q na Madee Miaka 30 Bongo fleva

bless on

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2026
Posts
1,213
Reaction score
2,938
Huyu mwamba alishapata tuzo ya msanii wa muziki wa Rege Bongo enzi hizo..alikuwa mnyamwezi sana..anasuka madredi yake toka kitambo..

Alifanya muziki mzuri sana hadi watu tukampenda sana..akawa na mdogo wake anaitwa Fatma ndio aliimba naye..wimbo fulani hivi, halafu huyo Fatma ndio akaimba na Diamond wimbo wa Diamond wa kwanza kabisa.

Kama hiyo haitoshi, Fatma akaimba wimbo na Jaffarai..dah..

Acha huko, turudi kwa mwamba.. akaona kwenye miaka 30 ya Bongofleva hayupo.. akaona awacheki akina Madee na Fid Q, wakamwambia eti wamejaa..
 
Attachments

  • FB_IMG_1783495726229.jpg
    FB_IMG_1783495726229.jpg
    94.6 KB · Views: 22
mtoa mada anamuongelea Hardmad ila ni kama vile kaparamia uzi anashindwa hata kuweka basic info. Fid Q kamjibu kuwa wasanii wameshakuwa wengi asubiri tour zijazo. Sema jamaa kumuacha jau sana, nasikia na belle 9 hayupo.
Belke 9 sio mkongwe
 
😁😁😁
 
Hard Mad alikuwa anaimba na live band tangu miaka hiyo. Jamaa apewe heshima yake bhana
 
Back
Top Bottom