Mfalme wa Saudi Arabia amezitaka Misri, Jordan na Qatar kuunganisha nguvu katika kulaani haki za binadamu za Israel

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Mkutano Mkuu wa Nchi za Kiarabu kuijenga upya Gaza.

Mfalme wa Saudi Arabia amezitaka Misri, Jordan na Qatar kuunganisha nguvu katika kulaani ukiukaji wa haki za binadamu wa Israel huko Gaza na kuishinikiza Israel kuruhusu misaada ya kibinadamu kufika katika eneo hilo lililozingirwa."
===============
⚡BREAKING:

"The King of Saudi Arabia has urged Egypt, Jordan, and Qatar to join forces in condemning Israel's human rights violations in Gaza and to pressure Israel into allowing humanitarian aid to reach the besieged region."

View: https://x.com/naziakhan455/status/1896588010197811455?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Yeye amefanya nini si akate ubalozi na usa tuone kama israel itaendelea na huo ujinga
 
Waarabu hawana impact yoyote katika dunia hii na kama hao magaidi wa Hamas wanaweza si watumie ubabe chakula kiingie basi, wao ni kufanya ugaidi tu kwa kuteka raia. Bure kabisa.
 
Wanaukumbi.

Mkutano Mkuu wa Nchi za Kiarabu kuijenga upya Gaza.

Mfalme wa Saudi Arabia amezitaka Misri, Jordan na Qatar kuunganisha nguvu katika kulaani ukiukaji wa haki za binadamu wa Israel huko Gaza na kuishinikiza Israel kuruhusu misaada ya kibinadamu kufika katika eneo hilo lililozingirwa."
===============
⚡BREAKING:

"The King of Saudi Arabia has urged Egypt, Jordan, and Qatar to join forces in condemning Israel's human rights violations in Gaza and to pressure Israel into allowing humanitarian aid to reach the besieged region."

View: https://x.com/naziakhan455/status/1896588010197811455?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Sawa 4R za samia kutaka haki wakati ccm ni moja
 
Back
Top Bottom