Mfalme Wa Saudia Atoa Wito Hezbollah Wanyang'anywe Silaha

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
9,971
Reaction score
13,608
Saudi King Salman called to disarm Hezbollah on UN General Assembly.

Every normal country must designate Hezbollah as a terrorist organization -- for the sake of peace and stability!
FB_IMG_1601072957819.jpg
 
... halafu kuna mapuuzi mengine humu yanaiona Hezbollah kama wapiganaji sijui mujahid wa Allah! Magaidi wakubwa chini ya ufadhili wa Iran; hakika dunia imeshtuka! Hongera King Salman kwa salaam hizo; umeandika historia. Ila pia shukran kwa aliyefanikisha mauwaji ya Jenerali Qassem Soleimani gaidi mkuu; dunia inapumua sasa.
 
Ila Saudi Arabia wao ni watakatifu sana.

Itakua hata Jamal Khashoggi alichinjwa chinjwa na jamaa wa 'Iran' wakishirikiana na "Hezbollah' pale ubalozini.
 
Saudi King Salman called to disarm Hezbollah on UN General Assembly.

Every normal country must designate Hezbollah as a terrorist organization -- for the sake of peace and stability!View attachment 1581032
Akawanyanganye mwenyewe, kashindwa baada ya kupewa kipigo ndani ya ardhi yake kwa makombora sasa anataka asaidiwe. Si aliyataka mwenyewe alidhani Hezbollah ni wa mchezo mchezo!
 
... halafu kuna mapuuzi mengine humu yanaiona Hezbollah kama wapiganaji sijui mujahid wa Allah! Magaidi wakubwa chini ya ufadhili wa Iran; hakika dunia imeshtuka! Hongera King Salman kwa salaam hizo; umeandika historia. Ila pia shukran kwa aliyefanikisha mauwaji ya Jenerali Qassem Soleimani gaidi mkuu; dunia inapumua sasa.
Hakuna mwenye haki ya kumikiki silaha Duniani

Bunduki ya kwanza kutengenezwa ilikuwa kwa ajili ya kulindia nyani na ngedere mashambani

Silaha yoyote iliyopo mikononi mwa binadamu kwa ajili ya binadamu mwenzie huo ni UGAIDI

haijalishi IPO mikononi mwa NATO, IDF,IRRG,JWTZ,IS,HIZBOLAH, na wengineo wote wanastahili kuitwa magaidi

Tunahitaji dunia isiyo kuwa na silaha
 
Saud inafadhili ugaidi kama haujui. Alqaida na makundi mengine ya suni chini ya wahabism. Hisbola wanafanya ugaidi 2api.
 
... halafu kuna mapuuzi mengine humu yanaiona Hezbollah kama wapiganaji sijui mujahid wa Allah! Magaidi wakubwa chini ya ufadhili wa Iran; hakika dunia imeshtuka! Hongera King Salman kwa salaam hizo; umeandika historia. Ila pia shukran kwa aliyefanikisha mauwaji ya Jenerali Qassem Soleimani gaidi mkuu; dunia inapumua sasa.
Hata wewe ni mpuuzi tu kwa kumpa King Salman hongera. Hongera ya kitu gani mfano? au kwa kuwa amefanya lile unalotaka wewe? Mbona ufalme wake umemuua Jamal Khashoggi? Ndio hujui kama kule Yemen amekuwa akirusha mabomu hospitalini, mashuleni na kuuwa watu ambao hata hawashiriki kwenye vita?

Hio Dunia inayo pumua iko wapi?
 
Waarabu walishavurugwa sana. Huyu King Salman mwenyewe ni mtumiaji wa Madawa ya Kulevya. Ila Hezbollah wanaleta shida katika Dunia lazima wanyang'anywe silaha na Ayatollah Khomeini anatakiwa apigwe Bomu. Ili dunia iwe salama
 
Hata wewe ni mpuuzi tu kwa kumpa King Salman hongera. Hongera ya kitu gani mfano? au kwa kuwa amefanya lile unalotaka wewe? Mbona ufalme wake umemuua Jamal Khashoggi? Ndio hujui kama kule Yemen amekuwa akirusha mabomu hospitalini, mashuleni na kuuwa watu ambao hata hawashiriki kwenye vita?

Hio Dunia inayo pumua iko wapi?
Unatumia akili kubwa kumjibu mwendawazimu brainwashed mkuu....!!?
 
Saudi mwenyewe kaua sana Wayemen,sema operation zake zilikuwa zina saidiwa na USA ndio maana yupo safe.

Si unajua US ye mbabe hakosei,ukimosoa ana kuwekea vikwazo kama alivyo wawekea ICC.
Naona siku hizi hata wenzake NATO washaanza kumchoka kuhusiana na maswala ya Iran.

Yemen Saudi kaifanya imekuwa nchi ya hovyo kuna kipindupindu,Kwashakor na sasa hivi Covid yaani wao hawaelewi waanze na lipi,bado wana makovu yatokanayo na mabomu ya Saudi.
 
Hakuna mwenye haki ya kumikiki silaha Duniani

Bunduki ya kwanza kutengenezwa ilikuwa kwa ajili ya kulindia nyani na ngedere mashambani

Silaha yoyote iliyopo mikononi mwa binadamu kwa ajili ya binadamu mwenzie huo ni UGAIDI

haijalishi IPO mikononi mwa NATO, IDF,IRRG,JWTZ,IS,HIZBOLAH, na wengineo wote wanastahili kuitwa magaidi

Tunahitaji dunia isiyo kuwa na silaha
Tubaki na fimbo na mawe tu kwaajili ya vibaka na wanawake wazinzi 🤔
 
Back
Top Bottom