Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Wakianza hilo zoezi Lebanon yote itawaka moto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ugomvi wao na Iran wanaweka mbele kuliko maslahi yao
Huyo mzee ni mchawi kwanza,alafu ana kibyongoWaarabu walishavurugwa sana. Huyu King Salman mwenyewe ni mtumiaji wa Madawa ya Kulevya. Ila Hezbollah wanaleta shida katika Dunia lazima wanyang'anywe silaha na Ayatollah Khomeini anatakiwa apigwe Bomu. Ili dunia iwe salama
Waarabu wa gulf nations hawanaga akili,,mwarabu mwenye akili ni msyria ambao kiasili siyo waarabu ni aramean na wairag ambao nao sio waarabu ni babyloanian au walebanese ,mwarabu mwenye akili ni myemen na oman tuKuna baadhi ya Nchi za Kiarabu ni za KIPUMBAVU sana. Saudia ni moja ya Nchi hizo.
Idf hawatii pua kwa hizbullah, pitia vita ya 2006Wanataka wanyanganye mawakala wa mudi silaha? Kaz hiyo ipewe IDF faster mbona
Ma wakala wa mudi lazima wanyanganywe silahaw
Wewe sura mbaya kama mkunduo wa baba yako acha kuleta udini hapa makende ya punda wewe
Ili dunia iwe salama, ni lazima waarabu wapigane wenyewe kwa wenyewe. Na bei ya mafuta iwe ktk kiwango vumilivuHuyu mzee si alikata moto,imekuwaje kazinduka tena?
Alafu mbona saudia inafadhili magaidi kule Yemen na Libya!!
Tusipokuwa na silaha nyani,ngedere na wanyama wengineo waharibifu watatusumbuaHakuna mwenye haki ya kumikiki silaha Duniani
Bunduki ya kwanza kutengenezwa ilikuwa kwa ajili ya kulindia nyani na ngedere mashambani
Silaha yoyote iliyopo mikononi mwa binadamu kwa ajili ya binadamu mwenzie huo ni UGAIDI
haijalishi IPO mikononi mwa NATO, IDF,IRRG,JWTZ,IS,HIZBOLAH, na wengineo wote wanastahili kuitwa magaidi
Tunahitaji dunia isiyo kuwa na silaha
Niungane nawe...dunia itakuwa salama endapo hakutakuwa na taifa lenye silaha.Hakuna mwenye haki ya kumikiki silaha Duniani
Bunduki ya kwanza kutengenezwa ilikuwa kwa ajili ya kulindia nyani na ngedere mashambani
Silaha yoyote iliyopo mikononi mwa binadamu kwa ajili ya binadamu mwenzie huo ni UGAIDI
haijalishi IPO mikononi mwa NATO, IDF,IRRG,JWTZ,IS,HIZBOLAH, na wengineo wote wanastahili kuitwa magaidi
Tunahitaji dunia isiyo kuwa na silaha
😂😂😂😂😂Wakianza hilo zoezi Lebanon yote itawaka moto.