Mfalme Wa Saudia Atoa Wito Hezbollah Wanyang'anywe Silaha

Waarabu walishavurugwa sana. Huyu King Salman mwenyewe ni mtumiaji wa Madawa ya Kulevya. Ila Hezbollah wanaleta shida katika Dunia lazima wanyang'anywe silaha na Ayatollah Khomeini anatakiwa apigwe Bomu. Ili dunia iwe salama
Huyo mzee ni mchawi kwanza,alafu ana kibyongo
 
Kuna baadhi ya Nchi za Kiarabu ni za KIPUMBAVU sana. Saudia ni moja ya Nchi hizo.
Waarabu wa gulf nations hawanaga akili,,mwarabu mwenye akili ni msyria ambao kiasili siyo waarabu ni aramean na wairag ambao nao sio waarabu ni babyloanian au walebanese ,mwarabu mwenye akili ni myemen na oman tu
 
Huyu mzee si alikata moto,imekuwaje kazinduka tena?
Alafu mbona saudia inafadhili magaidi kule Yemen na Libya!!
 
Huyu mzee si alikata moto,imekuwaje kazinduka tena?
Alafu mbona saudia inafadhili magaidi kule Yemen na Libya!!
Ili dunia iwe salama, ni lazima waarabu wapigane wenyewe kwa wenyewe. Na bei ya mafuta iwe ktk kiwango vumilivu
 
Tusipokuwa na silaha nyani,ngedere na wanyama wengineo waharibifu watatusumbua
 
Niungane nawe...dunia itakuwa salama endapo hakutakuwa na taifa lenye silaha.

Wapo wanaoaminishwa na beberu silaha ndiyo inaleta heshima baina ya taifa na jirani zake.

Silaha ni biashara haramu kuliko mihadarati. Lakini beberu kaamua ni biashara halali na bei anapanga yeye.

Hatutumii silaha kujilinda na wanyama pori bali tunazitumia kufanya ukatili kwa binadamu wenzetu. Shame!

Everyday is Saturday................................ 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…