BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
- Thread starter
-
- #21
Anabebwa
Kwani hujui kuwa mwaka huu anayechukua ni nani mbona mnapenda kujisahaulisha?
Cr7King wa dunia...
TakwimuUmejuwaje?
Ndo hivyo anachukua na ndo anakuwa wa dunia with baron di'or6 on her hands.Anabebwa
Wewe ujui mpira wanao ujua ndo wameamua kumpa ok Cr7.Ahahaha jamaa anabibwe hadi si vzr wameamua kumbemba hata kwenye goli la msimu,
Hivi la CR linaubora gani kuliko la Bale alilowafunga Liverpool kwenye Fainal
Cr7Kwani hujui kuwa mwaka huu anayechukua ni nani mbona mnapenda kujisahaulisha?
Cr7Hahahaha kuota inaruhusiwa
Ndo hivyo anachukua na ndo anakuwa wa dunia with baron di'or6 on her hands.
Unaijua kazi ya wings kweli?umesinzia wewe msapoti Messi Kama shabiki yake na sisi ni timu Cr7 baron di'or6 mkononi which never happened before TUNAMUITA:Kwa mtu anaeujuwa mpira vizuri hawezi kusema Ronaldo ni king, haingii akilini kabisa, inshort wabongo ushabiki umezidi kupita kiasi mpaka tunaongea vitu visivyokuwa na maana.
Pia tofautisha kati ya hawa watu wawili wanacheza pozesheni zipi!
Messi ni attacking midfielder, anachambua mabeki na kipa then anascore, kutoa assist ni yeye, master wa pasi ni yeye, master wa freekick ni yeye,na asilimia kubwa ya magoli yanatokana na Messi mwenyewe...
Ronaldo ni striker tu/mmaliziaji anaesubiri kutengewa na akina benzema amalizie na mapenalti juu..inshort ashukuru Mungu timu inambeba.
Unajidanganya wewe Cr7 ni Kama maji ko usipo yanywa Ni lazima utayaoga Kaka ok ko asilimi kubwa ya mashabiki wa Messi wanamkubali Cr7 sema tu hawajionyeshi tu kwa aibu.So jiongeze.Kwa taarifa yako %kubwa ya mashabiki wa ronaldo wanamkubali Messi, tena kuwahi kutokea ktk soka, isipokuwa hawajionyeshi tu kwa aibu. So jiongeze!
Kama hujui na hiyo basi wewe mtoto wa juzi na ujui mpira ko kakojoe ukalale.Baron ndiyo nini?
Eee according to FIFa ndo MFALME akifwatiwa na king PELE.
Eee according to FIFa ndo MFALME akifwatiwa na king PELE.
Unaumwa chuki nenda Ronaldo akutibu mfalme wa mpira duniani okLabda FIFA ya Bongo Ndiyo iliyompa Ronaldo Ufalme.
Unaumwa chuki nenda Ronaldo akutibu mfalme wa mpira duniani ok