Mfalme wa soka duniani ameshinda mataji mengi katika historia ya FC Barcelona

Mfalme wa soka duniani ameshinda mataji mengi katika historia ya FC Barcelona

Ahahaha jamaa anabibwe hadi si vzr wameamua kumbemba hata kwenye goli la msimu,
Hivi la CR linaubora gani kuliko la Bale alilowafunga Liverpool kwenye Fainal
Wewe ujui mpira wanao ujua ndo wameamua kumpa ok Cr7.
 
Kwa mtu anaeujuwa mpira vizuri hawezi kusema Ronaldo ni king, haingii akilini kabisa, inshort wabongo ushabiki umezidi kupita kiasi mpaka tunaongea vitu visivyokuwa na maana.

Pia tofautisha kati ya hawa watu wawili wanacheza pozesheni zipi!
Messi ni attacking midfielder, anachambua mabeki na kipa then anascore, kutoa assist ni yeye, master wa pasi ni yeye, master wa freekick ni yeye,na asilimia kubwa ya magoli yanatokana na Messi mwenyewe...

Ronaldo ni striker tu/mmaliziaji anaesubiri kutengewa na akina benzema amalizie na mapenalti juu..inshort ashukuru Mungu timu inambeba.

Huyu Mwanadada Wa Kimorocco Ndiyo Kawa Mfalme Wa Dunia? 😎😎

Screenshot_20180815-125025.png
 
Kwa mtu anaeujuwa mpira vizuri hawezi kusema Ronaldo ni king, haingii akilini kabisa, inshort wabongo ushabiki umezidi kupita kiasi mpaka tunaongea vitu visivyokuwa na maana.

Pia tofautisha kati ya hawa watu wawili wanacheza pozesheni zipi!
Messi ni attacking midfielder, anachambua mabeki na kipa then anascore, kutoa assist ni yeye, master wa pasi ni yeye, master wa freekick ni yeye,na asilimia kubwa ya magoli yanatokana na Messi mwenyewe...

Ronaldo ni striker tu/mmaliziaji anaesubiri kutengewa na akina benzema amalizie na mapenalti juu..inshort ashukuru Mungu timu inambeba.

Unaijua kazi ya wings kweli?umesinzia wewe msapoti Messi Kama shabiki yake na sisi ni timu Cr7 baron di'or6 mkononi which never happened before TUNAMUITA:
✓assist master.
✓goal score machine.
✓header machine.
✓king,sultan,boss na majina mengi ya aifa duniani ko aiwezekani kutaja sifa zake ukazimaliza na juzi katupia magoli Kama maji kule itali ko Messi mwenyewe kasema Cr7 ndo ananinyima usingizi
 
Kwa taarifa yako %kubwa ya mashabiki wa ronaldo wanamkubali Messi, tena kuwahi kutokea ktk soka, isipokuwa hawajionyeshi tu kwa aibu. So jiongeze!
Unajidanganya wewe Cr7 ni Kama maji ko usipo yanywa Ni lazima utayaoga Kaka ok ko asilimi kubwa ya mashabiki wa Messi wanamkubali Cr7 sema tu hawajionyeshi tu kwa aibu.So jiongeze.
 
Unaumwa chuki nenda Ronaldo akutibu mfalme wa mpira duniani ok

Mimi sio Mshabiki Wa Ronaldo wala Wa Messi..
Ninachojua Mimi Mfalme halali Wa Soka anaetambuliwa na Dunia Ni PELE... hao wengine munaogombaniana Ni Wafalme Wa Vilabu Vyenu na Ndiyomana Munaishia Kuvutiana Kwasababu Nyote Hamjawa Proved.
 
Back
Top Bottom