Mfalme wa soka ulimwenguni atwaa tuzo ya mchezaji bora UEFA kwa mara nyingine

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
9,185
Reaction score
8,715
Screenshot_20190503-154136_Instagram.jpg

Cc; hearly
PNC
Bullava
Davet
 
Sio mchezaji bora wa uefa ..mchezaji bora wa uefa alichukua modric ..so hadi watangaze tena

Yeye kachukua mchezaji bora wa week wa michuani ya klabu bingwa ulaya na sio chama cha soka
 
Mapenzi yamemzidi huyu Jamaa ,vizuri kwa kumuelimisha....Messi hana mpinzani kwa kiwango alichonacho
 
Sio mchezaji bora wa uefa ..mchezaji bora wa uefa alichukua modric ..so hadi watangaze tena

Yeye kachukua mchezaji bora wa week wa michuani ya klabu bingwa ulaya na sio chama cha soka

Mkuu, unajijibu ama kuna mdau unamjibu hii post? Maana unachokiongea hakihusiani na mada husika...
 
Kama hujui kitu kubali jifunza ..shabiki wa mpira huwezi tofautisha mchezaji bora wa michuano ya klabu bingwa ulaya(UEFA champions league)..na mchezaji bora wa chama cha soka ulaya (UEFA)
 
Mkuu sawa unampenda messi hata mie na mkubali, lakini mapenzi yamekuzidi mkuu, sasa tuzo gani ya kumuanzishia uzi messi!! Hizi tuzo usikute wamebeba mpaka kina giroud!!
 
Back
Top Bottom