Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Baada ya kimya kirefu kumbe Mtumishi Zumaridi alikuwa anatunga sheria 


Kwenye hao watanzania wapumbavu, mimi nitoe tafadhali sana ndugu NgabuUpumbavu wa Watanzania ni wa kiwango cha pekee sana hapa duniani!
When it comes to faith in comparison to whom ?Upumbavu wa Watanzania ni wa kiwango cha pekee sana hapa duniani!
Huyu Zumalidi ni Mnyantuzu mwenzako ujueUpumbavu wa Watanzania ni wa kiwango cha pekee sana hapa duniani!
Haijalishi kama ni Mnyantuzu, Mnyaturu, Mnyalukolo, Mnyakyusa, au Mnyelamumo.Huyu Zumalidi ni Mnyantuzu mwenzako ujue
Fuh ujinga wetu umepitiliza viwango vya World Guiness record.