Mfalme Zumaridi afanya sherehe ya kuwarudisha viongozi wa Afrika waliofariki

Mfalme Zumaridi afanya sherehe ya kuwarudisha viongozi wa Afrika waliofariki

Fuh ujinga wetu umepitiliza viwango vya World Guiness record.

Mtu akianzisha dini ya wala mavi hakosi waumini nchi hii, yani tume kaa standby kusubiri chochote kijacho mbele yetu.
Sijui kama ni watanzania tu wajinga maana kule south kuna mmoja alikuwa anawaambia washirika wake wale majani kama kondoo.
 
Kwa nini serikali inakuacha huyu mama mapaka yatokee ya kibwetele
 
Back
Top Bottom