Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Hivi unaona maelezo yako yana logic yoyote ?Yes GOD is not god halinganishwi na kitu chochote, mfalme Herod alihutubia watu wake wakasema Ni sauti ya mungu, MUNGU akatuma malaika wakamuua akafa, Sasa huyu chizi asubili vipigo zaidi ya magerezani!
Yaani alituma malaika (kwahio alishindwa kufanya hivyo remotely)
Yaani alikufa ; Kwahio asingefanya hivyo asingekufa mpaka leo angekuwa hai ?
Tatu kama ni kusulubiwa hata Yesu alisulubiwa sasa sijui unasemaje kuhusu huo mtiririko...
Sio kwamba natetea upande wowote bali nakumbushia Imani na logic haziivi na kushangaa imani A kwasababu ina loopholes wakati hata B ni yaleyale nadhani ni kukosa ustaarabu
Bora babu zetu walioamini miti na misitu hivyo kutokuikata kulisaidia sana kutunza mazingira...