Huu ni wizi kama wizi mwingineNataka kujua cheti cha mfalmacia kinaruhusiwa kubandikwa kwenye pharmacy ngapi ndani ya wilaya anako ishi? Maana kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja basi haina maana kabisa.kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja kwa maana ya kuzisimamia,kazi hii angepewa mfalmacia wa wilaya kazi hii anaweza kuifanya kwa ufanisi zaidi.kubandika cheti dukani then unalipwa million moja daah.Hivi hii hela huwa inalipiwa kodi?
Jikite kwenye hoja !! I know what I am saying bother!!Mfalmacia ni nani kwanza?
Ili nisije nikaanza kukuliza zaidi kumbe mada uliyoanzisha imekuzidi kimo.
Cheti gani?Cheti chako kimekosa soko kwani?
Unaelewa chochote kuhusu business of pharmacy?Jikite kwenye hoja !! I know what I am saying bother!!
Itakua ni wafalme hao.Mfalmacia ni nani kwanza?
Isijekua umenzisha mada inayokuzidi kimo.
imagine, wanaruhusiwa kusimamia maduka matatu. na kila duka huwa tunawalipa milioni moja kwa mwezi, and still wanajifanya miunguwatu. hizi takataka zinaitwa mfamasia zinatesa sana nafsi za watu mtaani huko. kuna siku tutawataja majina na mali mnazomiliki hapa.Nataka kujua cheti cha mfamasia kinaruhusiwa kubandikwa kwenye pharmacy ngapi ndani ya wilaya anakoishi? Maana kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja basi haina maana kabisa. Kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja kwa maana ya kuzisimamia, kazi hii angepewa mfamasia wa wilaya kazi hii anaweza kuifanya kwa ufanisi zaidi.
Kubandika cheti dukani then unalipwa milioni moja daah. Hivi hii hela huwa inalipiwa kodi?
Acha kupotosha umma, ni pharmacy moja tu ambayo unaruhusiwa kusuperintend. Ambapo unatakiwa kuhudumia at least 15hours a week.imagine, wanaruhusiwa kusimamia maduka matatu. na kila duka huwa tunawalipa milioni moja kwa mwezi, and still wanajifanya miunguwatu. hizi takataka zinaitwa mfamasia zinatesa sana nafsi za watu mtaani huko. kuna siku tutawataja majina na mali mnazomiliki hapa.
Wacha roho mbaya na choyo na wewe nenda chuo ukasomee ufamasia na wewe upate hiyo milioni moja kama ni rahisiNataka kujua cheti cha mfamasia kinaruhusiwa kubandikwa kwenye pharmacy ngapi ndani ya wilaya anakoishi? Maana kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja basi haina maana kabisa. Kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja kwa maana ya kuzisimamia, kazi hii angepewa mfamasia wa wilaya kazi hii anaweza kuifanya kwa ufanisi zaidi.
Kubandika cheti dukani then unalipwa milioni moja daah. Hivi hii hela huwa inalipiwa kodi?
SI KWELI.HUNA UNALOJUA.UNA EVIDENCE YA MFAMASIA ANAYESIMAMIA MADUKA 3 AU UNAJIONGELEA TU.imagine, wanaruhusiwa kusimamia maduka matatu. na kila duka huwa tunawalipa milioni moja kwa mwezi, and still wanajifanya miunguwatu. hizi takataka zinaitwa mfamasia zinatesa sana nafsi za watu mtaani huko. kuna siku tutawataja majina na mali mnazomiliki hapa.
Fungua hospitali basi kama pharmacy unaona inakushindaimagine, wanaruhusiwa kusimamia maduka matatu. na kila duka huwa tunawalipa milioni moja kwa mwezi, and still wanajifanya miunguwatu. hizi takataka zinaitwa mfamasia zinatesa sana nafsi za watu mtaani huko. kuna siku tutawataja majina na mali mnazomiliki hapa.